1) Mende anaweza kuishi kwa wiki nzima bila ya kuwa na kichwa
2) Mende anaweza akazuia pumzi zake kwa dakika 40 bila ya kufa
3) Mende anaweza kutembea zaidi ya maili 3 ndani ya saa moja
4) Ina aminika kuwa Mende alikuwepo tokea miaka milion 280 iliyopita
5) Kuna zaidi ya aina 4,000 za mende...
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
MHE. GODBLESS J. LEMA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru. Naomba kabisa nianze bila kusahau na suala ambalo tulikutananalo Arusha na Mheshimiwa Waziri naomba anisikilize sana.
Mheshimiwa Mwenyekiti...
Habari wanabodi!
Katika taarifa ya habari ya leo wakati natazama hapa ITV kuna gari kubwa imepata ajari kule Handeni watu wa tatu wamefariki.
Polisi wamefanikiwa kuwakamata wasomalia kama 15 waliokuwa wakisafiri wanaelekea Songea kwenye makaa ya mawe, sasa hapa ndio najiuliza huko Songea kuna...
Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form iliyoko kwenye word format, kisha uwatumie.
Ati hizi ndio taasisi za serikali zinazopaswa kutuondoa...
Mabaki ya watu wanaokadiriwa kuwa 600-800 yalipatikana kwenye eneo hilo
Juu katika milima ya Himalaya nchini India, ziwa lililo kwenye bonde lenye theluji, limetapakaa mamia ya mifupa ya binadamu.
Mto Roopkund uko umbali wa futi 16,500 juu ya usawa wa bahari chini ya mteremko mkali wa Trisul...
Tangu utaratibu wa kuchukua salary advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.
Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi
Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi...
MAAJABU YA TEBO YA TISA KWENYE MAISHA YA MWANADAMU
9×1=9 miez ya kuishi tumboni
9×2=18 umri wa kutambulika mtu mzima kwa baadhi ya nchi
9×3=27 miaka ya ukomavu na binadam kijana anaweza anza kunitegemea kila kitu makazi,malazi na mengneyo
9×4=36 miaka ya kuweza muda kulea( kuanzisha au...
Dunia ina mambo Mengi sana na mengine usiyoyajua
Nikiwa Maeneo hayo ya kilombero Niliwahi kuona uchawi ambao sitasahau.
Kuna kijana mmoja aliombwa aangue nazi kutoka kwenye mnanzi wa mzee fulani, Jamaa akavaa kamba miguuni akapanda akashusha nazi za kutosha.
Wakati anaendelea na hararakati...
Mabibi na mabwana pongezi nyingi zimfikie mama Samia rais wetu.
Ama kwa hakika kajua namna za kukonga nyoyo za watu wake. Mama amekuwa muwazi. Sote sasa tunajua angalau tulipo na tunakoelekea.
Mama anaeleweka na mama anasomeka.
Mama hana makeke, mama hana kuomba omba kuombewa. Mama anajua...
Mbegu ya Parachichi ina muonekano kama Mtoto akiwa ndani ya mji wa mimba
Kama ilivyo kwa mimba, Parachichi huchukua miezi 9 hadi kukomaa kwake
Parachichi husaidia afya ya Mama Mjamzito na ukuaji wa mtoto aliye tumboni
Parachichi husaidia kupunguza uwezekano wa mtu kupata Saratani ya Kizazi
Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema.
Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM!
Maajabu...
Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi.
Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
Wakati makusanyo ya mapato katika wilaya ya Kakonko kwa mwaka 2020/21 yalikua ni Milioni 539, ujenzi wa nyumba ya mkuu wa wilaya umetengewa milioni 700. Fedha hizi ni mara tatu ya fedha zinazogharamia elimu kwa shule za msingi Kakonko
Ukarabati wa nyumba Katibu Tawala Kisarawe umetengewa...
Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi.
Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya.
Kifo...
Mabibi na mabwana yamesemwa mengi na hata yamerushwa matusi mengi.
Uzuri ni kuwa wapigania haki za watu kuishi hawana tuzo wala utambulisho wanaotaka kibinafsi hapa duniani wala huko juu mbinguni.
Hapa yupo mwingine alikuwa mshupavu kweri kweri:
Wajameni haka kaugonjwa kana tabia mbaya ya...
Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS
Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe.
Katika maagizo aliyoagiza ni kuwa ni maruku padre kuhubiri mahubiri mahubiri kwenye msiba wake na kanisani...
Wasalam...!
Kwanza lazima tukubali tu kuwa kwa sasa tuna Rais mwingine na ni Awamu nyingine kuanza kutafuta kuokoteza maneno maneno na kuyaanzishia thread za kukosoa Utawala wa Awamu ya 6 chini ya mama shupavu SSH ni kukosa hoja na kuonesha kuwa kuna watu walikuwa wanafaidika moja kwa moja...
Hii ni habari mbaya sana maana ni ngumu kuiamini.
----
Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Ilala linamshikilia Juma Shamata kwa kushindwa kuhifadhi eneo salama bastola yake, hali iliyosababisha mtoto wake wa miaka 17 kuitumia kwa kumpiga risasi mtoto mwenzie Ikhissan Abdilahi (10) na kumsababishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.