maajabu

  1. LUKAMA

    Haya ni maajabu 6 ya kahawa yanayowaduwaza wengi duniani

    Nb:Naomba mods kuheshimu thread za watu, kazi yenu isiwe kufuta au kuunganisha thread za watu, sometime mnakera kinyama Dunia haijawahi kuwa na wasiwasi kuhusu kahawa. Iwe tunakunywa kikombe kimoja cha kuamka asubuhi, espresso baada ya chakula cha mchana au cappuccino jioni, hatujawahi kutumia...
  2. K

    Maajabu ya uumbaji!

    Jua liko umbali wa km Milioni 150 kutoka duniani! Kama ni kuendesha gari kwa mwendo wa 160kph, SAA 24 kwa siku, itachukua zaidi ya miaka 100 kufika kwenye jua! Jua ni kubwa sana hivi kwamba zaidi ya dunia 1,300,000 zinaweza kutoshea ndani yake!!! SWALI: Huyo aliyeliumba yuko km ngapi kutoka...
  3. Lycaon pictus

    Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

    Habari ya sasa ni utalii. Tuchangamke. Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa. Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya. 1.Lake Ngozi 2. Ufukwe wa ziwa Nyasa 3. Kitulo plateau...
  4. Lycaon pictus

    Maajabu ya madikteta wa Turkmenistan

    Saparmurat Niyazov Kuanzia mwaka 1985-2005 Turkmenistan ilikuwa chini ya dikteta Saparmurat Niyazov. Alifanya maajabu haya. - Alijenga sanamu yake kubwa sana. Sanamu hiyo ilikuwa inazunguka ili muda wote iwe inatazama jua - Aliandika kitabu, kitabu hicho kiliingizwa kwenye mitaala ya shule...
  5. Gordian Anduru

    Maajabu: World Cup 2018 ilitazamwa na watu bilioni 3, Simba bilioni 5

    Mpaka sasa World Cup 2018 ndiyo inashikilia rekodi ya kutazamwa na watu wengi ambapo jumla ya watu bilioni 3.5. Source: More than half the world watched record-breaking 2018 World Cup Hata hivyo imedaiwa kuwa Klabu ya Simba katika mechi zake za CAFCL na kampeni ya visit Tanzania wametazamwa na...
  6. YEHODAYA

    Mzee anaendesha RAV4 huku kavaa Helmet za pikipiki

    Dunia ina watu watata Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda Mwenyewe anasisitiza kuwa hata...
  7. Analogia Malenga

    Je, wajua; Tarehe ya leo (22/2/22) inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza maana

    Leo ni Siku ambayo Mpangilio wa tarehe ni 22/2/22. Siku hii ni Palindrome kwasababu Namba inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza thamani Siku hii pia ni 'Ambigram' ambayo humaanisha sanaa inayoweza kufanya neno au namba lisomeke juu chini, na chini juu Inaripotiwa kuwa...
  8. Chaliifrancisco

    Maajabu ya Afrika: Picha zinapingana na Uhalisia (DR Congo U16 vs Senegal U16)

    Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (U16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1. Hivi ndiyo vikosi vya team zote mbili. Mabingwa DR Congo. Mshindi wa pili Senegal...
  9. John Haramba

    Maajabu ya Maporomoko ya Maji Yanayofanana na Damu

    Kwenye Bara la Antarctica kuna sehemu inaitwa Victoria ambapo kuna maporomoko maarufu yaliyopewa jina la ‘blood falls’ au kwa Kiswahili maporomoko ya damu, ambapo maji yanandondoka umbali unaoweza kufananishwana na urefu wa ghorofa tano, yakiwa na rangi kama damu na kuingia kwenye Ziwa Bonney...
  10. John Haramba

    Maajabu ya mwamba Al Naslaa, umekatwa katikati na kitu kikali sana

    Jiwe au Mwamba wa The Al Naslaa unapatikana Kilometa 50 Kusini mwa Tayma nchini Saudi Arabia. Mwamba huu umekatwa katikati na kitu ambacho kilionyesha kina makali hasa. Sababu ya mwamba huo kuonekana umekatwa vipande viwili haijulikani hadi leo. Mwamba huo una upana wa mita 6 na urefu wa mita...
  11. markp

    Tabia ya Trafiki kula kwa urefu wa kamba zao imekithiri. Mamlaka ziingilie kati kukomesha rushwa za waziwazi

    Kuna magari almaarufu kama daladala , haya magari yakisimamishwa na Polisi hasa hawa wa usalama barabarani dereva akisimama tu JAMBO LA AJABU SANA KONDA HUSHUKA KAMA NINJA NA KUKIMBILIA KWA POLISI NA MARA HIYO HIYO POLISI hukenua meno na kuruhusu gari iondoke. Nachojiuliza Mkuu wa Polisi haoni...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa kilichotokea tutarajie Spika mpya kuwa na hofu, asiye na maajabu

    Kwema Wakuu! Wote tumeshuhudia yaliyotukia. Yanastaajabisha na hata hivyo yanadhihirisha nyufa za wazi ambazo Kama taifa tunapaswa kuzifanyia mpango tuzizibe. Kilichotokea kinatukumbusha umuhimu wa Katiba mpya ndani ya taifa letu. Hata hivyo mambo haya yanabidi Yatokee mara Kwa mara na yaguse...
  13. F

    Maajabu ya Mungu!

    Huu mmea umepewa jina lisilo la kitaalam la kiingereza la "Pretence Dying Plant" Kiswahili "Kifauongo" Uko kwenye kundi la mimea inayofunga majani yake unapoigusa au inapohisi kishindo cha miguu ya mnyama. Kuna uhusiano gani wa Kisayansi kwa mmea huu usiokuwa na macho wala masikio lakini una...
  14. Lord denning

    Makamu wa Rais ukimaliza likizo ya Sikukuu tembelea vibanda vya chips Dar na Dodoma ujionee maajabu!

    Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki...
  15. GENTAMYCINE

    Karibu Tanganyika Packers Kawe Desemba 4, 2021 uje ujionee 'Maajabu' ya Kuuaga mwaka 2021

    Huku Mwalimu Mchungaji Mwakasege anaendelea na OKOKA Concert yake na kule EFM Radio wanaendelea na KOMAA Concert yake. Kwa 'Sound' la uhakika lililosetiwa vyema kujiandaa na KOMAA Concert ya EFM Radio Tanganyika Packers Kawe Kesho ambalo nimetoka Kulisikia kuna uwezekano mkubwa 95% ya Waumini...
  16. M

    Kwa jinsi Mbeya Kwanza FC inavyocheza Kitoto (Kiuanafunzi) zaidi nitaona 'Maajabu' makubwa ikiifunga Yanga SC leo

    Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
  17. Point less

    Natafuta muvi kali zenye sifa kama hizi!

    Kwanza ziwe za kuchekesha Pili ziwe za kutisha Tatu ziwe za maajabu Nne ziwe na mkono wa kufa mtu Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo Na pia kama katuni pia napendelea Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
  18. O

    Maajabu ya nchi za Afrika

    Tanzania iko tayari kuzuia bidhaa za Kenya, Uganda nk, hivyo hivyo Kenya yuko tayari kuzuia bidhaa za Tanzania lakini nchi hizo haziko tayari kuzuia bidhaa za China. Yaani bora Mchina kuliko jirani yako? Roho za kiafrika za kutotaka jirani afanikiwe zinatumaliza yaani tuko tayari kujenga uchumi...
  19. B

    Maajabu ya Serikali ya CCM kusalimu Mwishoni

    Kumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali. Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye: 1. Uwepo wa Corona 2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona 3. Uhitaji wa chanjo dhidi ya Corona 4. Umuhimu wa wanafunzi wanaopata mimba kurejea...
  20. Superbug

    Maisha Yana maajabu Sana limao Lina pesa kuliko chungwa.

    Bei ya limao moja kwasasa ni tsh 500 wakati chungwa moja ni tsh 100. Inamaana limao moja ni machungwa matano TAFAKARI.
Back
Top Bottom