maajabu

  1. Mganguzi

    Msitu wa ajabu wenye Maelfu ya Mbuzi wa maajabu wasio na mwenyewe

    Sio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba. Ukifika hapo Isongole panda gari inayoelekea...
  2. FRANCIS DA DON

    Maajabu: Niliamka katikati ya ndoto lakini bado nikabaki usingizini, na nikijaribu kujiamsha inashindikana kabisa

    Baada ya kujaribu mara kadhaa ili niamke na kushindikana nikaona isiwe tabu, wacha nitulie tu labda nitaamka mwemyewe tu, lakini ikawa inashindikana. Baada ya kuwaza kidogo, nikaona nijaribu ku-imagine naendesha V8 nione itakuwaje, kweli bhana, kugeuza shingo naona V8 nyeusi kalii imeandikwa...
  3. Kigoma Region Tanzania

    Maajabu ya kutisha ya Mto Rutale (Chemchem ya Rutale) - Kigoma Ujiji

    Miondoko hii ya maandishi haijafanyiwa utafiti wowote bali ni nadharia za kusikika kutoka kwa mashuhuda mbalimbali kunako mtikisiko wa maajabu ya chemchem hii kongwe ya Kanyabeza inayopatikana eneo la Rutale, pia unaweza kuita chemchemya Rutale hivyo unaruhusiwa kupinga au kukubali, kupunguza au...
  4. Crocodiletooth

    Je, unafahamu maajabu yaliyokuwa yakitokea katika daraja la Mto Kirumi?

    Kama ulikua hujui kuwa Duniani kuna Daraja ambalo wakandarasi liliwatoa jasho na wengine kukimbia wacha nikufamishe. Daraja hilo lipo barani Afrika upande wa Afrika Mashariki nchini TANZANIA, Ndio, lipo TANZANIA mkoa wa MARA wilaya ya BUTIAMA kata ya BUKABWA Kijiji kiitwacho KIRUMI. Daraja...
  5. adriz

    Maajabu! Leo Rais Samia ameni-text

    Mmoja kwa moja niende kwenye picha ya kusindikizia uzi. #UziTayari
  6. Mwanamayu

    Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa Tanzania ku-overtake kwenye mstari ulionyooka au alama za wavuka kwa miguu sio maajabu kweli?

    Mara kadhaa nimeona magari yenye utambulisho Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania na ule wa jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kuzipita gari nyingine wakati alama ya barabarani hairuhusu. Pia, kuzipita gari nyingine kwenye alama ya kuvuka barabara watembea kwa miguu. Je, kama majaji hawa...
  7. SANCTUS ANACLETUS

    Maajabu ya Musa na Firauni: Tulimuona Raisi Magufuli “mshirikina” katika Suala la Uviko-19 na Sasa tunamuona “mama” Mwanasayansi katika suala la Mafut

    Ni lazima tuelezane ukweli wote watanzania. Muda wa kupewa Peremende kama Watoto wadogo kama njia ya kunyamazishana ilhali mahitaji yetu ni makubwa hayavumiliki na yanachosha.Kama ni mambo ya uchawa basi ni uchawa wa kishamba sana. Nina jambo nataka tufichuane akili. Tupeane Mangwa. Tusadiane...
  8. SANCTUS ANACLETUS

    Tulimuona Raisi Magufuli “mshirikina” ktk Suala la Uviko-19 na Sasa tunamuona “mama” Mwanasayansi ktk suala la Mafuta

    Ni lazima tuelezane ukweli wote watanzania. Muda wa kupewa Peremende kama Watoto wadogo kama njia ya kunyamazishana ilhali mahitaji yetu ni makubwa hayavumiliki na yanachosha.Kama ni mambo ya uchawa basi ni uchawa wa kishamba sana. Nina jambo nataka tufichuane akili. Tupeane Mangwa. Tusadiane...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    Maajabu ya Sayansi: Aina nne za uvumbuzi zilizofeli ambazo zimebadilisha Ulimwengu

    Maajabu ya Sayansi: Aina nne za uvumbuzi zilizofeli ambazo zimebadilisha Ulimwengu CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES 2 Agosti 2022 Je, unajua kwamba pacemaker, ambayo huokoa mamilioni ya maisha duniani kote, ni matokeo ya ugunduzi ulioshindwa? Wazo la mafanikio kama vile taa za umeme na mashine ya...
  10. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Samaki pweza ni samaki anayeishi baharini Pweza ana mioyo 3 (3 heart) Moyo moja husukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.Mioyo 2 husukuma damu kupitia matamvua yake(gills) Pweza ana damu rangi ya bluu kwasababu ana “copper-based protein” Pweza ni miongoni mwa-samaki mwenye akili Zaidi...
  11. ward41

    Maajabu ya Javelin na HIMARS

    Huwezi kuamini, hivyo visilaha vimefanya kazi ya ajabu sana kulichakaza jeshi la pili Kwa ubora ulimwenguni ( Russian Army). Vimeundwa Kwa gharama ndogo sana ila Kwa tech ya juu sana. Wote tulishuhudia ule msafara wa km 65 Kiev mwezi pili na tatu ukiyeyushwa kama theruji. Adui akabili mbinu...
  12. K

    Kipi kimewafanya Wakenya kuwa watu wa maajabu?

    Ni kawaida kabisa Nairobi kukutana na mtu mwenye akili timamu barabarani akiwa amevaa koti na tai mchana wa jua kali Ni kawaida kabisa kwa mtumishi mwenye cheo kikubwa kabisa Kenya kuvuta bange, kutafuna miraa au kunywa chang'aa Ni kawaida kabisa kwa kijana wa Kikenya kufa wakati akijaribu...
  13. Cheology

    Haya ndiyo maajabu ya masomo ya Sayansi

    Imergine unakuwa na principal ya pass ya physics au chemistry unaenda kusoma economics what's a joke Wanasayansi🙏🤗🤝💪
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Maajabu Jimbo la Igalula kata ya Loya, Taasisi za umma na Serikali kutounganishwa kwa umeme

    Wananchi Poleni Sana nimepata malalamiko yenu Kuwa taasisi za umma kama msikiti,makanisa,shule ya msingi Loya Bondeni,shule ya sekondari Loya na cha ajabu kabisa hata kituo cha polisi cha Loya eti hakuna umeme! Nilipo jaribu kuwahoji wahusika wanaotokea kata Hiyo tatizo hasa ni nini...
  15. T

    Kinana anashangaa Watanzania kutonufaika na Kiswahili

    Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye...
  16. K

    Uzi maalum kwaajili ya wachimbaji wa dhahabu

    Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...
  17. Uhakika Bro

    Maajabu! Je, namna iliyo rahisi kukutanisha vidole kwako ni ipi? Kushoto/kulia?

    Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi/namna mbalimbali! Fanya tuone. UTAFITI: Kuna ambao wapo confortable kidole gumba cha kulia kikiwa juu, na wako ambao kile cha kushoto kikiwa juu ndio sahihi zaidi kwao. Fanya zoezi pichani kisha niambie je ni kushoto ama kulia?
  18. MUTUYAMUNGU

    Kenya 2022 Siasa za Afrika na maajabu ya Martha Karua

    Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga. 1. Ni mwanasheria kitaaluma. 2. Waziri wa muda mrefu ILA 3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI. 4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA. YAJAYO YANAFURAHISHA.
  19. Chagu wa Malunde

    NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

    Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza. ======= Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
  20. Kuwite94

    Maajabu ya mgunduzi wa umeme Duniani

    Nikola Tesla alikua na akili kiasi cha watu kumuona ni mwendawazimu, lakin huyu ndo ameiwashia dunia umeme, ni mtu wa kwanza kugundua mawimbi ya radio, minara ya simu, wirelessly technology, leo hii maji/upepo/gas inageuka kuwa umeme, unasikiliza radio kutoka mbali, unapiga simu kwenda mbali ni...
Back
Top Bottom