maajabu

  1. Hemedy Jr Junior

    Maajabu ya Mfupa wa Nguruwe(mdudu)

    1. KWANZA WAFUGAJI WA NGURUWE SIJUI WANALITAMBUA ILI KUWA NGURUWE NIKINGA YA MASHETANI Yaani yeye anachukiwa na mashetani/wachawi🤔😂😂 2. MFUPA WA NG'URUWE NI KINGA tosha kujiweka mbali na WACHAWI au nguvu za giza. NA UFANYAJE UNAWEZA KUWA NAO KWA POCHI YAKO AU UKAUFUNGA KWA KITAMBAA /UKAWEKA...
  2. R

    Maajabu ya dunia yapo Tanga, hakuna Umeme na Maji kwa muda mrefu sasa

    Sasa ni saa 48 umeme haujakatika hata fraction of a second! Haijawahi tokea ! Maji leo ni siku ya kumi hakuna hata tone! Ngoja tuombe maajabu yatokee na huku kwenye maji.
  3. Valencia_UPV

    PhD za kusomea zimeiletea nchi kitu gani?

    1. Hizo PhD za kusomea zimeleta maajabu kwenye Uchumi, Jamii ya ki-Tanzania? Nchi hii tuliwahi kuwa Na Waziri wa Mambo ya Nje baadae Katiba na Sheria (PhD holder) alifuata Dawa za Mitishamba (feki) na ndege (full-paid) Madagscar. 2. Sasa mnaipamba PhD utadhani wenye nazo wanajielewa.?
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maajabu ya kaburi linalotoa moto, watu wanashangaa hawana kitu cha kufanya

    Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
  5. Venus Star

    Kwanini Maporomoko ya Kalambo yanatajwa kuwa maajabu ya Afrika yaliyoficha zama za Binadamu?

    Tanzania nchi yangu. Maporomoko ya Kalambo.
  6. Chura

    Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

    29.1.2023 Necta imetangaza rasmi matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2022, matokeo haya yamekuja na utaratibu mpya ambapo hakuna kutajwa nafasi ya shule kitaifa na kimkoa maana yake pia hakuna utaratibu wa kutaja shule zilizoongoza kitaifa sanjari na hayo NECTA imefuta utaratibu wa kutaja wanafunzi...
  7. Song of Solomon

    Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Ndugu zangu kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, mimi sio mchawi, mshirikina ama vyovyote vile ila ninakuandikia haya kama kukuelezea nguvu ya vitu alivyoviumba Mungu. Mungu alimuumba binadamu kutoka kwenye udongo, hii inamaanisha nini? Kwamba kitu cha kuuponya huu mwili upo kwenye udongo...
  8. Happycuit

    Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  9. Mamujay

    Maajabu niliyoyafanya kwenye nyumba Madale

    Nyumba hii tunafumua bati tunapiga kozi moja baadae tunaezeka kisasa fundi alipiga bati kizamani sisi kazi yetu hapa kufanya maajabu ukitaka kazi zetu Tumeokoka tunapiga kazi safi hatuna shida na mtu picha za kazi hii utaziona kwenye comments nitazituma zote
  10. F

    Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

    Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM. Siku ambayo hao watatu...
  11. mama D

    Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

    Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022. Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
  12. BARD AI

    Maajabu ya Croatia kutoka kwenye Vita ya Umwagaji Damu hadi Kombe la Dunia

    Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia. Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati Panama ilipocheza Urusi 2018, ikimaliza hatua ya makundi kwa vipigo vitatu na kuruhusu mabao 11. Asili...
  13. J

    MAAJABU: Bei ya mafuta yapanda tena hadi 3247 Dar, wakati soko la dunia ikishuka mara dufu

    #BIASHARA Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli katika mwezi Desemba 2022 kwa mkoa wa Dar es Salaam, imepungua kwa shilingi 59 kwa lita ambapo petroli itauzwa shilingi 2,827 kwa lita, na bei ya dizeli pia imepungua na itauzwa kwa shilingi 3,247 kwa lita. Bei hizi zitaanza kutumika kesho Desemba...
  14. NetMaster

    Licha ya kuwa na vyuo na graduates wengi wa IT hapa Tz kwanini hakuna maajabu wanayofanya?

    Wengi (sio wote) Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni amateurs ila tu kinachowabeba ni magamba (vyeti) - IT, computer science, computer engineering, cyber...
  15. figganigga

    Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

    Salaam wakuu, Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona...
  16. Lycaon pictus

    Maajabu na miujiza ni nini?

    Eti wakuu, maajabu na miujiza ni vitu gani? Ni vitu vinavyotokea vikipingana na sheria za ulimwengu au ni mambo yanayotokea lakini tunashindwa kuyaelezea kutokana na uelewa wetu? Je kitu kinaweza kutokea na kupingana na sheria za ulimwengu/fizikia.
  17. A d o l f

    Yanga yafanya maajabu Tunisia

    Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0 klabu ya Club African. Yanga ilipata ushindi wake mnamo dakika ya 79 kupitia kiungo mshambuliaji...
  18. 6 Pack

    Iran ni nchi ya maajabu sana

    Wakuu vipi, kwema. Wakuu Iran ni mmoja kati ya nchi ambazo ziliwekewa vikwazo vikali na nchi za magharibi toka mnamo mwa miaka ya 70s huko hadi leo hii na siku zijazo. Vikwazo hivyo ni vya kiuchumi, kijeshi nk, tena vimekuwa vikiongezwa siku hadi siku. Tofauti na ilivyo kwa nchi nyingine kama...
  19. Analogia Malenga

    Watanzania wapata Golden Buzzer Australia's Got Talent

    Wanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent. Wawili hao ambao wanajiita "Ramadhan Brothers" walionesha umahiri mkubwa kwenye sarakasi na michezo hatari hali iliyofanya majaji wote wawakubali...
  20. MSAGA SUMU

    Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

    Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea. Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali kukutana na Kagame, yaani umetupita hapa katikati Kama sisi sio watu, Mama hapendi hii kitu...
Back
Top Bottom