maajabu

  1. R-K-O

    Maajabu ya kiberiti kilivyonisaidia kuficha aibu ugenini

    Nakumbuka hapo miaka ya 2015 niliwahi kwenda ugenini siku 3 hivi kuufatilia mambo yangu, ilinibidi niende kwa mjomba wangu alieniasa niende kwake. Sasa tatizo nililokuwa nalo enzo hizo kinyesi changu kilikuwa kinanuka sana, yani nikitoka huko chooni ni kunanuka si kidogo, nilikuwa nakula...
  2. Chizi Maarifa

    Kwa kweli ni maajabu sana. Inashangaza siyo kidogo

    Yaani kuna watu humu wanaandika mambo mpaka unajiuliza huyu naye ana demu? Aliwezaje mpata demu wake? Alitumia maneno gani kumshauri demu atoe nguo? Maana kichwani ni empty kabisa. Unawazaaaaaa. Unasema Khaaah.... Mademu wana huruma sana. Hata huyu naye anapata wa kugegeda? Hii Dunia hiii...
  3. Zanzibar-ASP

    Mama Samia akiweza kuvuka 2025, yatakuwa maajabu mapya ya ulimwengu!

    Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana...
  4. Mag3

    Maajabu Tanzania: Benki ya NMB kufadhili mikutano ya ALAT

    ALAT ni Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa...Association of Local Authorities of Tanzania Benki ya NMB imefanikiwa kuchangia kiasi cha Sh. 200 milioni kwa ajili ya kufanikisha maandalizi ya mkutano mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT) unaotarajiwa kufanyika kwa siku...
  5. Librarian 105

    Hivi unajua kwa nini Mapenzi yaimbwa sana?

    Mimi najua ni kwa sababu wapo wenye kumahabatika nayo na wapo wenye kuumia kwayo na wapo wenye kuishi kwayo baina ya mahaba na maumivu ya mapenzi. Wewe je?!
  6. saadala muaza

    SoC03 Maajabu ya Ng'wana Malundi

    MAAJABU YA NG'WANA MALUNDI --- Mwandishi:Saadala Muaza Utangulizi: Mwanamalundi ni miongoni mwa watu waliokuwa maarufu sana katika jamii ya wasukuma mnamo karne ya 19.Jamii ambayo kwa kipindi hicho ilijikita katika imani za kichawi na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa. Mwanamalundi alizaliwa...
  7. saadala muaza

    SoC03 Wafu walio hai

    Uhai unasiri kubwa sana ambayo kila mwanadamu anatamani kuupata angalau ufunguo wa siri hii ili kuchungulia hata akiba ya pumzi yake japo jambo hili laweza lisimsaidie chochote. ~~~ ###### Ilikuwa ni usiku wa giza totoro sanaa, giza ambalo weusi wake uliyapiga kibao macho yangu na kuyafanya...
  8. GENTAMYCINE

    Radio One na Kipindi chenu cha Mazungumzo ya Familia huyu Mgeni wenu Maajabu 18 atawashushieni Thamani

    Zifuatazo ni Kauli zake za Kipuuzi ambazo hazivumiliki tena na zinakera amezisema Leo Jumapili tarehe 7 May, 2023 katika Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One..... 1. Mwanaume yoyote anayecheza VICOBA au yuko katika Vikundi vya Mikipo vya Mtaani ni Dhaifu na Hajitambui 2. Mwanaume...
  9. LA7

    Umeshawahi kuzulumiwa na ndugu kisha ukaona Mungu akitenda maajabu yake?

    Nakumbuka 2018 niliacha kazi ya house boy nikarudi kijijini kulima, wakati huo tayari nilishatanguliza pesa ya kukodi shamba heka 70000 moja na kulima na trecta 45000 kurudia na ng'ombe 2500 mbegu 35000 ukijumlisha na zakutolea na mpokeaji inakuja kwenye 200000. Sasa muda wa kurudia na n'ombe...
  10. D

    Mambo 8 ya kushangaza kuhusu Korea Kaskazini

    (1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa mwaka 1912. (2) Korea Kaskazini ina mfumo wake (operating system) kwenye upande wa computers zao...
  11. Analogia Malenga

    Baadhi ya Makundi ya Kenya yaliyofanya maajabu

    THE KENYAN TRIO I GIVE MY DUE RESPECT (CURRENTLY) Natamani sana kusikia kolabo inayobeba vichwa hivi vitatu ninavyovisikiliza zaidi kutoka KE kwa sasa. Nimekuwa nikimwelewa Shinski toka enzi za Klepto na "Tuendelee, Swing, Furahia na Mpenzi." Hata baada ya kusplit na kwenda majuu na kuacha...
  12. K

    Maajabu ya Tanzania ripoti ya CAG ya matumizi 2020-2021 kujadiliwa 2023-2024

    Yaani CAG anagundua makosa ya budget ya 2020-2021 halafu anaitoa 2022 lakini wakubwa wanaipeleka mbele katikati ya budget ya 2023-2024. Hivyo matatitizo ambayo yamegunduliwa yanaweza yakawa yanaendelea kwa miaka 2 kabla ya kufanyiwa kazi!. Lakini cha ajabu kama kweli Bunge kazi yake ni kushauri...
  13. Zacht

    Ifahamu water witching na maajabu yake

    Water witching au kwa jina lingine inafahamika kama dowsing ni Njia maarufu na ya kale inayotumika kutambua uwepo wa maji chini ya ardhi ,Yani kama unataka kuchimba kisima Cha maji sasa ili kutambua ni sehemu gani Kuna mwamba wa maji unatumia Njia hii . Njia hii inasemekani ni ya muda mrefu...
  14. Hemedy Jr Junior

    Qur'an ni kitabu chenye maajabu wanasayansi wanathibitisha

    Qur'an Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha? Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
  15. Artifact Collector

    Startup za Tanzania wajitahidi kuwa na maajabu, wanafanya mambo ya kawaida sana

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Haris amekuja Tanzania, na moja ya sehemu atakazo tembelea ni Tanzania startup assocciation, binafsi yangu nilisubiria kwa hamu kuona hao watu atakao kutana nao nione idea zao To be honest nimekua dissapoint sana kwa watu ambao wamepewa nafas ya kukutana na...
  16. macho_mdiliko

    Ona maajabu ya Artificial Intelligence: Inamjua mpaka Maxence Melo

    Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)! Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu sikutilia maanani sana mpaka nilipoanza kuitumia. Je, wewe umewahi kuchati nayo? Kama bado basi...
  17. GENTAMYCINE

    Huyu Mgeni Maajabu Saba Kipindi cha Mazungumzo ya Familia Radio One adhibitiwe kwa Mapungufu yake yafuatayo

    1. Kupenda kutamka kila mara ( kuwaita Watu ) Wajinga. 2. Kupenda kutumia Maneno ya Kiarabu / Kiislamu Redioni kwani hasikilizwi na Waislamu wenzake pekee. 3. Aache Dharau 4. Aache Ujivuni 5. Aache kudhani kila ambaye bado hajafanikiwa Kimaisha kajitakia au ni Mjinga. 6. Apunguze Sifa zake...
  18. Poker

    Nyumba ya Maajabu Masaki!

    Hello 👋 brothers n sisters Good afternoon! Tuanze na huu mkasa hapa fuatana nami hadi mwisho. Kuna nyumba hapa Masaki location x, ni ghorofa ya floor moja tuu ndani ina swimming pool, car parking, ina mifumo ya cctv na iko fully furnished. Mmiliki wa hii nyumba ni marehemu Deborah mwenyeji wa...
  19. J

    Video: Maajabu ya Uumbwaji Ulimwengu. Binadamu si kitu, Isa 40:28 "Akili zake hazichunguziki"

    From smallest atom to multiverse
  20. Suley2019

    Maajabu: Diamond ausifia na kuupost wimbo wa Alikiba

    Salaam Wakuu, Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana kwenye Insta Story ya Diamond amepost wimbo wa Alikiba. Je, uhasama wao umeisha au?
Back
Top Bottom