Mtumishi wa Mungu Askofu, nakusalimu kwa Jina la Yesu Kristo.
Amani ya Bwana Iwe pamoja nawe.
Napenda kukuandikia barua fupi yenye maneno machache.
Napenda kukutambua rasmi kuwa wewe ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli. Kazi yako ya upatanishi, haki na imani umeitendea haki, na Mungu akubariki...
Ni jambo la kushangaza sana kuona hadi msemaji wa Ikulu kwenye ukurasa wake wa Instagram na Twitter akipost wasanii watakaokuwepo kwenye kampeni za Magufuli.
Inastaabisha sana kuwekeza nguvu kubwa kwenye kuwatangaza wasanii badala ya mgombea urais.
Hawa jamaa ni kama wamejitoa mshipa wa aibu...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa:
Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma.
Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine.
Sikia mheshimiwa huyu
Ninawasilisha.
Ni bahati mbaya mikutano ya CHADEMA na ACT wanaoulizwa maswali ni Wananchi waliokuja kuwasikiliza badala ya wananchi kuwauliza wao maswali. Kwa kuwa siku bado ningefurahi kama kuna atakayewauliza wagombea wakuu wa CHADEMA na ACT haya maswali yangu. Au tufanye mdahalo nao? Maswali yangu ni haya...
Kwa jina jingine hujulikana kama (Tope tope) Nadhani ni kwa sababu ya umbile lake hasa likiwa limeiva huwa laini mfano wa tope.
Huenda sura yake ikawa mbaya kwa muonekano, lakini ni tunda lenye faida nyingi sana ikiwemo uponyaji wa magonjwa mbali mbali.
NAMNA YA KUTUMIA STAFELI
Stafeli...
Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection.
Serikali si lazima ikuajiri lakini...
Kuna Mambo ya ajabu nimeyashuhudia na ninaendelea juu ya huyu Lissu na Chadema yake.
Habari zake za kampeni zilikua zinahujumiwa na baadhi ya Vyombo vya habari zisitoke au kupungua umuhimu,lakini zinatoka.na watu wanahudhuria mikutano yake.
Sijaona bango hata moja la Lissu lakini watu...
Wana JF,
Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.
Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije...
WAPENZI wawili waliokuwa tayari kufunga ndoa katika eneobunge la Bura, Kaunti ya Tana River walilazimika kusitisha harusi yao baada ya mwanamume kujitokeza ghafla harusini akidai yeye ni baba yao.
Anne Magwi na Jotham Munini, watoto waliolelewa na wazazi wa kambo, walikuwa wamefika kanisani...
Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile...
Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Nimefuatilia kauli takribani zote kuhusiana na uchaguzi mkuu zinazotokea katika chama hii kubwa.
Si katika uzinduzi wa kampeni si katika walioongea katika kampeni au popote kuhusiana na uchaguzi 2020. Hakuna wanaposema neno 'haki'...
Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa huku akiwa kavalia nguo iliyofunika uso wake ili kuwakwepa maafisa Uhamiaji...
Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC.
Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
Moja kati ya mafanikio ya karne ya 19 yalikua ni hii ndege. Makubaliano ''concord" kati ya serikali mbili ya Uingereza na Ufaransa ndio yaliozaa wazo la kutengeneza hii ndege na wakakubaliana waipe jina la kifaransa la Concorde yaani maana yake makubaliano(concord).
Ilikua na uwezo wa kubeba...
Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa imetembea wazi wazi
Cha kushangaza zaidi CCM Wana taarifa za baadhi ya wagombea kupitishwa kwa...
Body of a man who drowned in River Nzoia retrieved after two months
Mwili wa Mtu aliyezama Mto Nzoia umeonekana baada ya Miezi Miwili
Citizen TV Kenya
Mimi ninachojua na nilichokaririshwa na Wadau ni kwamba Mtu yoyote akizama iwe Baharini au Ziwani au Mtoni ndani ya Siku Moja tu ataonekana
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye.
Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
Wana JF,
Jimbo la Kawe ni jimbo lililosheheni viongozi wengi vichwa, mpaka sasa kuna Mawaziri wakuu wastaafu watatu, makatibu wakuu karibu wote. Jimbo hili linataka mtu kichwa tu, si kwa kuwa na hela nyingi eti utafanya kampaini, la hasha. Lenye vituo vya mafuta, lina migogoro ya ardhi tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.