maajabu

  1. Q

    Leo hii nakimbia wanawake! Haya ni maajabu, sikuwahi kuwaza

    kweli muda unazungumza aisee kila kitu kipe mda Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wanawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni ndoto bada ya miaka kupita Leo hii mimi nawakimbia wanawake kweli yaani wapo wengi wanakupa bure...
  2. Maajabu ya Cristiano Ronaldo, afikisha magoli 900 michuano rasmi

    Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na Croatia iliyochezwa Lisbon Alhamisi hii. Soma Pia: Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa...
  3. Maajabu ya kuwa Bachela

    Kununua chakula na kula chakula kinachoandaliwa kwenye mazingira haya ni muujiza mmojawapo wa kuishi kibachela. . Tupe muujiza wako maajabu
  4. I

    Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

    Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio! Hakika Serikali...
  5. Maajabu ya timu za Zanzibar zinazoshiriki mashindano ya kimataifa

    Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa. Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini. Soma Pia...
  6. M

    I can't believe what i'm seeing

    Mzuka JF members! I cant believe what I saw. A flock of eagles flying together and a pack of leopards hunting together. Jiisaaz
  7. Usizuge kuwa unawahi safari kwahiyo huwezi Kuongea, ukweli ni kwamba Unajishtukia kwa maajabu ya kwa Afya na Wawili uliowatoa kwa Kushauriwa vibaya

    Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
  8. Nashangaa wanaolaumu wenzao kuwa hawajafanya kitu katika nchi huku nao hawafanyi kitu

    Yaani kuna kitu huwa nashangaa sana utakuta humu mtu anasema vijana wanashinda kuzungumzia mpira hawalipambanii Taifa yaani mtu anaongea kama mwenyewe sio Mtanzania, yaani anamlaumu wenzake wakati naye yupo hai anaona yanayoendelea nchini na hajafanya chochote sijui anataka nani ampambanie. Hao...
  9. Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

    Lionel Christian Ateba πŸ‡¨πŸ‡² β—‰ 02 - Years deal (Tsh 523 million) β—‰ 16 - Games premier league 23 | 24 β—‰ 01 - Goal scored. β—‰ 03 - Assist Kibu Denis Prosper πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β—‰ 02 - Years deal (Tsh 300 million) β—‰ 26 - Games premier league 23 | 24 β—‰ 01 - Goal scored. β—‰ 02 - Assists ℹ️ Value for money iko sawa?
  10. Karibu Bongo ujionee maajabu ya Coastal Union

    ..π—žπ—”π—₯π—œπ—•π—¨ π—•π—’π—‘π—šπ—’ π—¨π—π—œπ—’π—‘π—˜π—˜ Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024. Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 😎
  11. S

    Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  12. Serikali ya Zanzibar inafurahia Watu wa Bara wanavyonyanyaswa?

    Salaam Wakuu, Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana. Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii. Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar. Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi. Wafanyabiashara...
  13. A

    Maajabu ya lugha na binadamu.

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiulza hivi sayansi ya lugha duniani ikoje, mbona duniani lugha ni nyingi ila kuna maneno ambayo kila taifa lazma wawe nayo na maana Ni moja. Utakuta watu wa Asia kama waarabu, waajemi yani wahindi, Malaysian, Indonesian n.k wanaingiliana sana maneno kwenye lugha zao...
  14. Haya nayo ni Maajabu kama ya Mwamposa!

    Ajabu la Kumi Na Nne La Tanzania Baada Ya Lile La Juu...
  15. Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
  16. Alphayo Kidata na maajabu ya kuteuliwa, kutenguliwa, kuvuvuliwa na kushtakiwa

    Huyu ni mojawapo ya Binadamu niliopata kuwafuatilia kidogo, tangu niliposikia jina lake lilitajwa kuwa amepewa dhamana Nchini. Hebu Tazama; πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ DISEMBA 2015 - Aliteuliwa kuwa KAIMU Kamishna Mkuu TRA akitokea nafasi ya Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi aliyoitumikia tangu Agosti 2013. MACHI 2016...
  17. Je, Muuza Madafu wa Ikulu atakuwa na maajabu ulingoni?

    Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali na kuwa wanaonekana wanajua michezo. Je unadhani Komando Madafu atatoboa?
  18. Kinywaji cha ulanzi: Tufumbue Fumbo la maajabu

    Habari za leo wakuu. Wanyalukolo nimewafikia na wote mkaao nyanda za juu kusini. Wengi mnafahamu kuhusu kinywaji cha ulanzi. Kinywaji hiki huzalishwa kutoka katika aina ya mmea wa ulanzi ambao pia upo maeneo mengi ya nchi hii na barani Afrika. Nina maswali yafutayo ambayo sina majibu. 1. Ni...
  19. Maajabu ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
  20. Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

    Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine. Kumbuka na uzinduzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…