maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT

    Habari za Masiku ndg zangu, Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job. Ila hii inatokana na kuhenyeka interview 15 zao, 13 kati ya hizo niliishia written na kuambulia...
  2. Picha maalum: Muonekano wa picha za watoto wakiwa tumboni kupitia vipimo vya MRI na Ultrasound 2D/3D/4D/HD

    MRI ULTRASOUND
  3. Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

    Leo tumeamka na siku mpya huku Kigamboni daladala zimegoma ni mwendo wa Bajaj kila kituo buku mpaka buku mbili. Sijui wenzetu huko mlipo hali ikoje.
  4. Uzi maalum kwa wastaafu kupeana changamoto mbalimbali na connection

    Wastaafu hebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani, changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
  5. CHADEMA iweke mfumo mzuri wa viti maalum

    Ningependa kukishauri chama Cha CHADEMA kiweke mfumo mzuri wa viti maalum ulio wazi Ili kuepuka Yale ya Covid 19 yasijirudie. Tujifunze kutokana na makosa, la sivyo huko mbeleni litajirudia Tena. Hili la kusema wanawake waliogombea majimboni na kushindwa watapewa nafasi ya mbele kwenye Viti...
  6. Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

    Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia. Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze...
  7. M

    Tuanze Maombi Maalum Kwa ajili ya Ben Saanane na Watesi wa Tundu Lisu

    Shalom! Wapendwa tunapoelekea, kukamilisha kipindi Cha Kwaresma, nawasihi wanamaombi tuingie KATIKA Maombi Maombi Maalum ya kuitafuta ukweli Juu ya Mpendwa wetu Ben Saanane! Mpaka Sasa haijulikani yupo wapi, alikufa au yupo hai! Watoto wake, mke wake wazazi wake wemepitia Magumu sana! Hivo Kwa...
  8. N

    Wabunge wa Viti Maalum na wale wa kuteuliwa na Rais wana faida gani katika Taifa?

    Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali. Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi kutokana na majimbo kuwa mengi, bado pia wanaongeza wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa tu na...
  9. Uzi maalum: Jini mahaba

    Baada ya kuona hili janga limegusa watu wengi sana hata humu Jukwaani kuna mada nyingi za Shuhuda mbalimbali kuhusu hili lijamaa. Uzoefu unonesha hakuna aliyefanikiwa kupambana na hili Lijamaa yaani Binaadamu tumelishindwa Mimi kama muhanga mkubwa wa hili janga sina haja ya kutoa ushuhuda...
  10. B

    Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM.

    Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM IFTARI MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE ILIYOANDALIWA NA MA-SHEKH WA MKOA WA DODOMA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA UONGOZI MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN YouTube Twitter Facebook. Pamoja...
  11. Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  12. T

    Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  13. CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  14. Naomba kupata ufafanuzi kuhusu ufundishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu (VI, HI, II) pamoja na wale wa kawaida katika darasa moja

    Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
  15. Siku ya Wanawake: Bi. Titi Mohamed mahojiano na waandishi maalum

  16. Wanawake mashujaa waliosahauliwa tunawakumbuka: makala maalum siku ya wanawake

    AISHA ''DAISY'' SYKES ANAVYOWAKUMBUKA MAMA NA BIBI ZAKE WALIOSAHAULIWA NA HISTORIA Utangulizi Kila ninapofikiri kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika hasa katika zile siku za mwanzo za TAA kabla ya kuundwa kwa TANU na baada ya TANU kuundwa mwaka wa 1954, nashawishika kufanya rejea...
  17. Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili ya mawasiliano wakati watakapokuwa wanaelekea sehemu salama kupokelewa. Wanafunzi wanatakiwa...
  18. Serikali ina mpango gani na wastaafu waliokuwa wanafanya kazi maalum?

    Nianze kwa kusema habari wapendwa. Nianze kwa kusema thread yangu nimeianza kwa mfumo wa swali hali ya kuwa ndani inamaelezo machache japo yenye kuendana na swali pia. Sababu ya kuleta thread hii ni kwa sababu ya baba yangu mdogo ambae alikuwa akifanya kazi magereza kipindi cha miaka ya 80 na...
  19. Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi. Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya...
  20. F

    TARURA, hii biashara mliyoanzisha ya maegesho ya kulipia kwanini msingetenga na kuandaa maeneo maalum badala ya kutumia barabara zetu?

    Kwanza nawapa kongole mamlaka ya usimamizi wa barabara za mjini na vijijini (TARURA) kwa kuanzisha na kurahisisha huduma za parking kwa njia ya kulipia hususani maeneo ya miji na majiji makubwa hapa nchini. Mapungufu makubwa niliyoyaona hapa ni Parking space nyingi ziko katika barabara ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…