maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Utaratibu wa huduma rafiki kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Mabasi ya mwendokasi umeyeyuka?

    Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
  2. Genius Man

    Uzi maalumu kwa wale wote walio single

    Katika uhalisia wale wote walio masingle wamekuwa na upweke sana kwenye jamii hata hivyo ni kundi kubwa lenye mchango mkubwa kwenye jamii katika nyanja mbalimbali. Kwa kutambua uwepo wao na mchango wao mkubwa katika jamii huu ni Uzi maalum kwa wale wote walio masingle hawajaowa wala kuolewa...
  3. U

    Mkutano wa uchaguzi wa askofu dayosisi ya mwanga Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania kufanyika machi 10, 2025, mrithi wa sendoro kupatikana

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kiswahili: Mwanga. Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa uchaguzi, Machi 10, 2025, ili kumpata mrithi wa aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Chediel Sendoro...
  4. Jobless_Billionaire

    Uzi maalumu kwa watu wasiofunga kipindi cha mfungo

    Salaaam... Tupo katika kipindi ambacho Waislamu na Wakristo kwa pamoja tupo katika mfungo. Hata hivyo ndani ya kipindi hiki, si wote tutafunga/ tunafunga na hii ni kutokana na sababu mbalimbali aidha kiafya na nyinginezo ambazo hazitaruhusu uwe katika mfungo. Uzi huu ni maalumu kwa wale...
  5. holoholo

    Uzi maalumu wa picha za wapendanao

    Tupia picha ikionesha watu,wanyama au chochote katika Hali ya upendo Ni eidha upendo wa baba na mAma,baba na mtoto,mamaa na mtoto,familia,jamii au popote pale
  6. holoholo

    Picha maalumu za mihangaiko uchakalikaji na pilika kazini

    Tupia picha yeyote inayoonesha ukichakalika kazini iwe mgodini,dukani,sokoni,ukichunga mifugo,au popote pale karibunipicha: shamba la tumbaku katika moja ya kata mkoani tabora
  7. holoholo

    Uzi maalumu wa video za vichekesho;tupia video yako

    Wakuu`huu uzi ni maalumu kwa video za kuchekesho,vioja na video fikrishi
  8. Chifu mkuu

    Ujumbe maalumu toka mimbari za ijumaa

    Huu ni Uzi maalumu kwa waislamu katika siku za ijumaa kupeana taarifa umeswali ijumaa msikiti gani, khatibu wa ijumaa alikuwa sheikh au Ustaadh gani na mada ya khutba ya ijumaa ilizungumzia nini. Kwa kuanzia , Leo mimi nimeswali swala ya ijumaa katika msikiti wa Abuu Dharri Jundub bin Junada...
  9. Mganguzi

    Patandi maalum shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu wasiopatiwa lishe stahiki. Wanakula vyakula visivyoendana na afya zao serikali iimulike!!

    Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya wanafunzi ilivyo ! Wako wasio sikia viziwi)wasioona vipofu) walemavu wa viungo wanaotembea kwa...
  10. Equation x

    Mahusiano yanayokuja kwako huwa yana sababu maalumu.

    Wengi huwa tunashindwa kulitambua hili, hasa pale tunapokuwa wapofu wa huko tuendako. Ndipo wahenga wakaja na msemo, ukiona nyani mzee juwa amekwepa mishale mingi. Ikitokea mtu amekuja kwako kimahusiano, mpokee vizuri na umjibu vizuri kama kuna kisababishi chochote kitakacho kwamisha mahusiano...
  11. The Watchman

    Pre GE2025 Mbunge Esther Midimu: Waziri Mkuu nakutuma kwa Rais ikimpendeza Jina la Mbunge Njalu Silanga lipite bila kupingwa

    "Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba kwamba ikimpendeza Njalu jina lipite bila kupingwa" Mbunge wa viti maalumu Esta Midimu Soma pia...
  12. M

    Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa

    Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa. Autism (Usonji) Visual impairment -kutokuona Hearing impairment- kutosia Ulemavu wa viongo n.k Kuna kituo kizuri Sana kina na boarding hapo hapo. Kipo mikocheni A Kijana wangu yupo hapo nimeona there's some improvement kubwa .
  13. Mkalukungone mwamba

    Dar: Bodaboda kupatiwa namba maalumu ili kuongeza usalama

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza mchakato wa kuboresha sekta ya usafiri wa bodaboda kwa kusajili madereva, kuwapatia namba za utambulisho, vituo rasmi vya kuegesha, na mavazi yatakayoongeza imani na usalama wa huduma wanazotoa...
  14. Hyrax

    Betting na michezo yote ya kubahatisha ni mfumo maalumu uliobuniwa ili kuwandaa watu kuwa maskini

    Mbali na dhambi kadha wa kadha zinazozalishwa baada ya mtu kuingia katika mfumo huu jambo kubwa na baya zaidi kwa mtu huyu ni kwamba mfumo utamdai UMASKINI in long term hata kama atafanikiwa kubutua hata bilioni 1+ bado mfumo utamdai awe MASKINI Kama sio uchumi kuporomoka basi atabaki na pesa...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Nashauri serikali ianzishe route za daladala zinazo zunguka duara bila kurudi nyuma pia daladala zipewe namba maalumu ili zitambuliwe na abiria

    Kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Umma: Pendekezo la Njia za Duara na Namba za Daladala Usafiri wa umma ni moja ya huduma muhimu kwa wakazi wa miji mikubwa kama Dar es Salaam, ambapo watu wengi wanategemea daladala kama njia ya usafiri wa kila siku. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazohusiana...
  16. NostradamusEstrademe

    Ubunge viti maalumu; Wadau wataka ukomo wa muda

    Chanzo gazeti la Mwananchi la leo Nini maoni yako Mimi maoni yangu hata wabunge wangekuwa na ukomo wa miaka 10.Hii itaondoa dhana kuwa bila flani mambo hayawezi kwenda kumbe mwingine utajiri wake na pesa zake ndio zinamfanya awe na kiburi. Hakuna mtu aliyezaliwa kutawala milele watu wanazaliwa...
  17. kimsboy

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  18. U

    Uzi maalumu wa kuweka nukuu za muhimu za kukumbukwa za Viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa Afrika Mashariki

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni tupeane Raila Odinga: "Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
  19. Tman900

    Wasanii ambao waliwai kuwaimbia nyimbo wapenzi wao waliowapenda kwa dhati

    Kama Kuna wengine unaowajua Ruksa kuongeza. Juma Nature aka Kiroboto - Sinta mpaka Nyimbo kamuimbia. Mb- Dog --- Nancy Sumari Mpaka Nyimbo kamuimbia Jagwa Kuna msanii wa mnanda alimuimbia -Asha Juma Jux- Vanessa Ongezeni wasanii wengine ambao waliwai kuwaimbia nyimbo wapenzi wao/ Mtu ambae...
  20. M

    KERO Serikali, mna mpango gani na Usafiri wa Treni? Mnatuwekea siku maalum ya kukata tiketi, halafu tukifika kukata, mnasema nafasi zimeisha?

    Wana JF mmelala? Jamani hivi hizi train zipo kwaajiri Gani? Ukiachana na SGR Kuna Train inaitwa Deluxe, watu WA kigoma mwanza Tabora mtakuwa mnanielewa. Hii Train inaelekea mkoani kutoka dares salaam, mara Moja Kwa week, ambayo ni Alhamis. Na nauli Huwa ni elfu 36 third class na elfu 48 second...
Back
Top Bottom