Moja kwa moja kwenye mada.
Leo tu waandikie wazazi wako ujumbe mzuri kwa yote waliyokufanyia hadi sasa upo hivyo ulivyo.
Haijalishi wako hai au wametangulia mbele za haki, wewe andika neno zuri la shukrani na heri juu yao.
Mungu barikii wazazi wetu na uwalaze pema wazazi waliotutoka...
Nawasalimu wote jukwaani
Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu
Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi...
Moderator nikuombe usiunganishe Uzi huu kwingineko
Wadau hamjamboni?
Tafadhali tupia picha ya moccasin kali ya ukweli, weka Bei zake na sema wapi vinapatikana
Wadau hamjamboni nyote?
Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani?
Karibu utupe uzoefu
Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa...
Hili naamini liko ndani ya uwezo na maamuzi yenu.
Kwa ridhaa yenu tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima , madeni yanayo anzia miezi 3 na kuendelea kulingana na sheria ya manunuzi ya nchi yetu.
Kisha Taasisi inayosumbua wazabuni au...
Hawa bongo movie na comedians wa bongo kwa nini kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihitaji pesa za walipakodi wa Tanzania ziwahudumie katika mambo yao binafsi?
Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo.
Kuna haya mambo yanayotia kinyaa;
1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
(1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu ili kulinda masilahi yao binafs katika timu, kwani ikumbukwe Mo dewji alimuachia kiti try again na...
TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI.
Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani.
Na katika malezi haya...
CHADEMA mna mkakati wowote wa kuwazuia wabunge wa viti maalumu waliopo bungeni wakati huu kutorudi bungeni wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025?
Mtawazuiaje ikiwa mtaona wao ndio wamepewa fursa ya kugombea na wanapeperusha bendera ya CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2025?
Mtawazuiaje...
Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni maoni yangu binafsi kabisa lengo ni kuweka utaratibu ulio bora zaidi wa utoaji maoni kulingana na mada mbalimbali zinazowasilishwa jukwaani
Idara maalumu za Serikali yetu zina uzoefu na weledi mkubwa hivyo naomba zitumiwe kikamilifu kutathimi kwa njia ya...
Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu.
Hatusitahili kuchuka kila kitu...
Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu wazalendo
kwa hali iliyopo ya uhuru uliopitiliza itachukua miaka mingi nchi yetu kupata maendeleo
Kwa maslahi mapana na maendeleo ya nchi...
Wakuu habari za mishe
nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine viheshimiwe kwani navyo ni viko fire .Share chochote ila isiwe kuhusu iOS
MIMI NAANZA NA UBUNTU...
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji
vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Kwa mkono wa Mikael Mtanzania
Tanzania ni moja ya nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya internet kwani Gb 1 ambayo ni MB 1000 ya internet unaipata kwa elfu tatu ukweli ni jambo zuri na tunaweza kujipongeza kwa upungufu wa gharama hii.
lakini ukweli ni kwamba bado tunayoshida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.