Ndugu zangu watawala, hali ilivyo sasa katika Nchi yetu si nzuri sana kimahusiano.
Umoja,upendo na amani vinaweza kupotea kutokana na uzembe mdogo mdogo wa watu wachache.
Juzi katika harakati za kuzima maandamano ya CHADEMA askari polisi wametumia nguvu kubwa mno kana kwamba Nchi yetu imevamiwa...