Zawadi ya maneno matamu. Maalumu kwa ajili ya mwanamke bora asilia wa Kiafrika
"Mama Africa", ujumbe maalumu kwenda kwa mwanamke asilia wa kiafrika, mwenye tabasamu angavu, uso wenye nuru, sauti ya upole pamoja na rangi asilia, anayeteka utayari na hisia za wanaume, mwenye mapenzi ya dhati pasi...
Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC.
Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo;
1. Iringa
2. Mbeya
3. Morogoro
RC Chalamila ameyasema hayo katika mkutano na wananchi wa maeneo ya Chanika alipokutana nao kusikiliza kero zao.
Amesema katika utafiti walioufanya, panyaroad wengi wanatoka maeneo ya Chanika na Zingiziwa ambayo yapo wilaya ya Ilala.
Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba.
Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
Kumekuwa na malalamiko mengi ya mifumo ya tehama serikalini kuzimwa makusudi ili wafanyakazi wezi na viongozi wezi waweze kuiba.
Ushauri wangu ni kuweka kikosi maalumu kuhakikisha mifumo yote inafanya kazi na kama ikizimwa bila sababu au kutoa taarifa kuwekwe sheria maalumu ya uhujumu uchumi...
Wasalaam,
Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na kijacho kulilinda Taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili.
Huu ni mtazamo wangu juu ya uwepo wa Somo...
Wadau wote
Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo.
Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon
Karibuni tupeane maarifa
Sabato njema
Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.
Mimi kama diaspora nimeona fursa kubwa sana kwa nchi yetu na bank kuu yetu.
Kwasasa hakuna utaratibu wowote wa kumwezesha;
1. Diaspora kurudi nyumbani miaka ya baadae kwa kuwekeza nyumbani.
2. Utaratibu wa serikali kupata pesa za uhakika kutoka kwa diaspora.
Sasa nini kifanyike;
1...
Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla.
Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali;
1. BOB MARLEY
No woman no cry
Buffalo...
Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu,
kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote...
Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako...
Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka.
Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani.
Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini.
Hawa huwezi...
Kumeibuka ugonjwa w a kuhara na kutapika na hivyo Kupelekea Wagonjwa kuwekwa kambi maalumu katika Kituo cha Afya cha Moshono.
Wagonjwa wote waliopata tatizo hilo la kuharisha na kutapika wamewekwa katika eneo maalumu na chini ya Uangalizi Maalum huku wengine wakiwa wamevalishwa phone? ampers...
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini.
Muigai amesema Mapendekezo ya...
Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani,
Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie.
Nyinyi askari mnachangia...
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwisho ya Mkutano Maalum wa wa Siku 3 wa Vyama vya Siasa na Wadau ambapo wamejadili Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi, Hali ya Demokrasia na Siasa kwa ujumla Nchini
Katika Siku hii...
Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia"
Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
Fuatilia yanayojiri kwenye Siku ya pili ya Mkutano Maalumu wa vyama vya Siasa, leo Septemba 12, 2023.
https://www.youtube.com/live/gluDmlaR35M?si=wM7TlyCrrBFbEHtg
===
ABDUL NONDO, ACT
Mpaka leo msimamo wa Serikali ni kana kwamba uchaguzi wa Serikali za miktaa unakwenda kusimamiwa na TAMISEMI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.