Hoja yangu ni hii kweli corona ipo na Rais amesema na amekiri.
Lakini kusema sisi ni nchi hatari si kweli maana hakuna anaweza kuficha vifo vya watu wote, tupo hapa tunatembea na tuna ndugu zetu na marafiki zetu lakini tatizo siyo kubwa kiasi hicho.
Pili gonjwa hili ni hatari kweli lakini kwa...
TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
Mimi kama mtanzania nisiemfuasi wa chama chochote sipendi ushabiki wa kishamba hasa juu ya suala ambalo linagusa maslahi ya kila mtanzania bila kubagua itikadi zake.
Hapa nchini kwetu kumetokea vifo vingi kipindi cha mwezi huu wa kwanza na vifo hivi vimewashutua watu watanzania na kuwa na hofu...
Ubalozi wa India nchini Tanzania umetoa tangazo la tahadhari unazochukua ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vinavyoenezwa kupitia mfumo wa upumuaji.
Ubalozi huo umeweka zuio kuanzia tarehe 27/01/2021 la watu wasio na miadi (appointment) kuingia katika ubalozi huo hadi hapo itakapotoa...
Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu.
Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale...
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi yamepungua kutoka 130,000 mpaka 68,400 kwa mwaka kutokana na elimu inayoendelea kutolewa kwa wananchi ya kujikinga na maambukizi hayo.
Mkurugenzi wa tume hiyo, Dk Leonard Maboko, amesema hayo leo Noemba...
Takriban visa vipya 103,000 vya maambukizi ya COVID-19 vimeripotiwa nchini #Marekani ndani ya saa 24, huku hekaheka za Uchaguzi zikidaiwa kuchangia ongezeko hilo
Hii ni rekodi kubwa tangu Septemba 4 ikiwa ni siku 2 baada ya Uchaguzi wa Urais, kulingana na takwimu zilizotolewa na Chuo cha Johns...
Rais Uhuru Kenyatta amekubali kuwa mapuuza yake na viongozi wenzake kuhusu janga la corona yamechangia sana nchi kupiga hatua nyuma katika mwezi mmoja uliopita.
Katika hotuba yake kwa taifa Jumatano kuhusu hali ya Covid-19 nchini, Rais alikiri kuwa mikutano ya kisiasa iliyoshamiri katika mwezi...
Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona.
Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo
Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
Vifo vinavyotokana na maabukizi ya virusi vya corona vimezidi watu milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins, huku Shirika la Afya Duniani likionya kuwa idadi hiyo inaweza kuwa ndogo zaidi ikilinganishwa na uhalisia kutokana na changamoto katika upatikanaji wa takwimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.