maambukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    WHO: 46% ya maambukizi ya Corona wiki iliyopita yametoka India

    Shirika la Afya (WHO) limesema takriban nusu ya maambukizi ya Virusi vya Corona yaliyorekodiwa duniani wiki iliyopita ni kutokea Nchini India WHO imesema India imerekodi 46% ya maambukizi ulimwenguni pamoja na 25% ya vifo vyote vilivyoripotiwa wiki iliyoisha. Katika saa 24 zilizopita, watu...
  2. beth

    India: Maambukizi ya Corona yafikia Milioni 20

    Hospitali zinaendelea kuomba misaada ya dharura ya Oxygen huku Mamlaka za Mji Mkuu wa Delhi zikitoa rai kwa Jeshi kuwasaidia kukabiliana na mlipuko. Taifa hilo lina maambukizi zaidi ya Milioni 20. India ambayo inashambuliwa vikali na wimbi la pili la maambukizi ya Virusi vya Corona imerekodi...
  3. Shadow7

    Kenya yaondoa marufuku ya watu kutoka nje ‘Lockdown’

    Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona. Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi...
  4. beth

    #COVID19 CoronaVirus: India yarekodi maambukizi mapya zaidi ya 300,000 kwa siku ya sita

    Ndani ya saa 24 zilizopita, India imerekodi visa vipya 323,144. Ni siku ya sita kwa Taifa hilo kuripoti maambukizi mapya zaidi ya 300,000 na visa vimefikia Milioni 17.64 Hospitali zimekuwa hazipokei Wagonjwa kutokana na uhaba wa vitanda na Oxygen. Vifo 2,771 vimerekodiwa katika siku moja lakini...
  5. Kuchasoni Kuchawangu

    #COVID19 Baada ya kumaliza Maombolezo ya kumuaga mpendwa wetu Magufuli, tujiandae na maambukizi mapya ya COVID-19

    Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19. Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla...
  6. Chato tena

    Covid 19: Rais Kenyatta apiga marufuku mikusanyiko ya kisiasa kwa siku 30. Curfew yaongezwa kwa siku 60

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza taratibu mpya za kudhibiti janga la COVID-19 nchini humo ikiwa ni pamoja na: Mikusanyiko ya kisiasa imepigwa marufuku kwa siku 30. Marufuku ya kuwa nje usiku imerefushwa kwa siku 60 zaidi Mabaa na kumbi za burudani kufungwa kuanzia saa tatu usiku. Mazishi...
  7. J

    #COVID19 Hatua za kuchukua unapojitenga na maambukizi ya COVID-19

    Kujitenga ni kwa ajili ya watu wenye dalili za Korona pamoja na ambao hawana dalili lakini wamepima na kuthibitika kuwa wana virusi vya Korona Hatua za kuchukua ni kama zifuatazo:- Kaa nyumbani isipokuwa kama utahitaji kupata huduma ya matibabu Kaa katika chumba tofauti na wanafamilia...
  8. J

    Nawa mikono na hakikisha haujigusi sehemu za uso ili kuzuia maambukizi

    Wataalam wa Afya wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kunawa mikono kama njia kuu ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya Corona kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine Tunaponawa mikono tunaondoa vijidudu kwenye mikono yetu kutoka kwenye sehemu mbalimbali tulizogusa Mkono ambao huutumia kugusa usoni mara...
  9. CUF Habari

    #COVID19 CUF: Hali ya maambukizi ya Covid-19 nchini Tanzania na hatua za kuchukua

    TAARIFA KWA UMMA HALI YA MAAMBUKIZI YA COVID- 19 NCHINI TANZANIA NA HATUA ZA KUCHUKUA Ndugu wanahabari! Karibuni tena kwenye Ukumbi huu wa Shaaban Khamis Mloo ambapo CUF- Chama Cha Wananchi kinaongea na Umma wa Watanzania kwa mara nyingine kupitia kwenu. Awali ya yote ningependa kumshukuru...
  10. Elisha Sarikiel

    Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

    Wana jamvi amani kwenu ! Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
  11. J

    Mama mwenye maambukizi ya Korona hawezi kumuambukiza Mtoto kwa kumnyonyesha

    Tafiti zinaonesha kuwa virusi vya Korona haviambukizwi kupitia njia ya kunyonyesha Hivyo mama aliyethibitika au kuhisiwa kuwa na Virusi vya Korona anaweza kuendelea kunyonyesha mtoto wake isipokuwa atazingatia yafuatayo:- Kuosha mikono mara kwa mara na sabuni na maji tiririka au kwa kutumia...
  12. Erythrocyte

    Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

  13. Sky Eclat

    Kushirikiana taulo ni chanzo kikubwa cha maambukizi ya magonjwa ya ngozi

    Unakuta mtu anamtembelea rafiki yake, akitoka kuoga anakuta taulo kwenye kamba analichukua na kutumia, utamsiki “huyu wangu sana “. Watoto wakiwa boarding school, taulo linaweza kula vichwa vitatu bafuni. Hata hizi hotelini kama unaweza safiri na taulo lako. Fikiria hoteli haina mashine ya...
  14. Analogia Malenga

    Wizara ya afya imetoa muongozo kwa watumiaji wa magari ya Mwendokasi

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa muongozo kwa watumiaji wa Magari ya mwendokasi ili kujikinga na maambukizi ya #CoronaVirus. Wasafiri wanaotumia magari ya mwendokasi wanatakiwa kuvaa barakoa hususani asubuhi na jioni, kukaa umbali wa mita moja kati ya mtu na...
  15. Planett

    #COVID19 Afariki baada ya kuwekewa mapafu yenye maambukizi ya covid-19

    Mgonjwa aliyepandikizwa mapafu amekufa baada ya kupokea #mapafu yaliyoambukizwa na Covid-19, kulingana na utafiti wa kimatibabu ulioelezea kesi ya kwanza kama hiyo nchini Marekani.⁣ ⁣ Kulingana na ripoti iliyochapishwa katika Jarida la Amerika la Kupandikiza viungo, mwanamke huyo, ambaye...
  16. B

    #COVID19 Corona yapunguza maambukizi ya VVU na magonjwa ya zinaa

    Corona inaambukizwa kwa kishaka au kushika sehemu yenye virus na kuweka mkono wenye virus machoni au mdomoni. Zinaa au tendo la ndoa haliwezi kufanyika bila kugusana na viungo vinavyoweza kutumika kwenye mchakato wa tendo ni mdomo. Tishio la corona limewaweka watu mbali, limewafanya baadhi ya...
  17. Miss Zomboko

    WHO: Maambukizi ya Corona yapungua kwa asilimia 17 Duniani kote

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilitangaza kuwa kumekuwa na upunguaji wa kesi za maambukizi ya corona (Covid-19) kwa asilimia 17 katika wiki iliyopita ndani ya maeneo 6 tofauti kote ulimwenguni. Kulingana na takwimu zilizochapishwa na WHO, idadi ya kesi za maambukizi imekuwa ikipungua kwa...
  18. Cannabis

    Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

    Waziri wa Afya wa Oman amethibitisha takwimu za maambukizi ya Corona kwa wasafiri wanaotokea nchini Tanzania kuwa katika kiwango cha juu sana, ambapo asilimia 18 ya wasafiri wamekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Waziri huyo amesema wanafikiria kuzuia safari za ndege kutoka nchi zinazoonyesha...
  19. J

    Jinsi ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa yanayoathiri mfumo wa upumuaji

    Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana mikono, kukumbatiana na kubusu Ni lazima kuzingatia usafi wa mazingira, kunawa mikono kwa maji na...
  20. M

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
Back
Top Bottom