maamuzi

  1. Msanii

    Panya Road: Matokeo ya maamuzi mabovu ya viongozi

    Wakati wa utawala wa Awamu ya Tano tulishuhudia kupungua kwa wimbi la uhalifu nchini lakini pia tuliona ongezeko la vijana kwenye sekta ya ujasiriamali na shughuli halali za kujiingizia kipato. Baada ya kuanza kwa Awamu ya Sita, kipaumbele cha kwanza kilikuwa ni kuwazuia na kuwaondoa...
  2. Fernando Wolle

    SoC02 Maamuzi magumu ya Tanzania kujitegemea ndani ya miaka 20

    Kwanza tukubaliane kwamba ili Tanzania isonge mbele na iweze kujitegemea inamuhitaji kila Mtanzania kuwajibika kwenye nafasi aliyopo huku serikali ikiwa ndio injini inayoaminika kusukuma sehemu zote kwa uaminifu kabisa na ufanisi mkubwa. NDIO! Tanzania inaweza kuwa kinara wa maendeleo Afrika na...
  3. BARD AI

    Kenya 2022 Serikali kusambaza Askari mitaani kulinda Maamuzi ya Mahakama Kuu

    Wakati maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu hatma ya Matokeo ya Urais yakisubiriwa nchini kote, Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Edward Mbugua ameagiza Makamanda wote wa Mikoa kusambaza Askari, Vifaa na Mitambo ya Usalama ili kudhibiti majaribio yoyote ya uhalifu. Hatua hiyo inajiri ikiwa ni siku...
  4. M

    Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Habarini wana JF, Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu. Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
  5. petercharlz255

    SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  6. N

    AIBU: Kesi nzito Kenya maamuzi mwanzo mwezi ujao, hapa COVID 19 ni danadana

    kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo...
  7. Mnazinguakinoma

    Police fikirieni upya maamuzi yenu before mkamate mtu

    Jamani sasa kama mmefika huku basi mnataka vijana wote wawe wezi ili ijulikane tu kila kitu atakachofanya ni uharifu. Haya huko pwani kijana wa watu tena msanii katengeneza mfano wa bunduki(matoi) ambayo anatumia kwaajili ya sanaa hajafanya uharifu wowote lakini anaenda jera #je mnadhani...
  8. L

    Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

    Habari zenu humu wadau. Ninahitaji msaada wenu katika mawazo na ushauri. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 mkazi wa jijini Dar es salaam(Sinza). Sijao wala sina mtoto, nina kazi ambayo huniingizia zaidi ya milioni moja kwa mwezi. Nimekuwa mtu wa nisiyejiamini kabisa na kuona dunia au watu...
  9. Lanlady

    Kwa hali ilivyo, taifa linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu (dikteta), si mwenye kubembeleza

    Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk. Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa...
  10. P

    SoC02 Biashara itakayobadilisha maisha yako baada ya kuchukua maamuzi ya kuifanya

    Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na...
  11. Rammie Singh

    Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo: Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako? Ni mara ngapi unakataa kuachilia...
  12. Richard

    Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  13. Theb

    SoC02 Maamuzi ya kisheria kwa wale wote wanaovunja sheria yatekelezwe kwa kufuata sheria zilizowekwa

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Moja utangulizi ambao utelezea maana ya sheria. Mbili, hapa nitaonesha baadhi ya maamuzi ya kisheria yenye kuleta utata katika jamii zetu, ya kiuchumi, kisiasa, kijinsia na michezo na burudani SHERIA Ni mfumo wa kanuni ambazo hutekelezwa au hufuatwa katika...
  14. JanguKamaJangu

    Malawi: Waandamana kupinga mfumo wa Mahakama, 76 wakamatwa

    Jeshi la Polisi Nchini Malawi limewakamata watu 76 waliokuwa sehemu ya maandamano ya Wananchi Jijini Lilongwe wanaopinga mfumo wa uendeshaji kesi wa Mahakama kuwa taratibu katika kutoa haki, rushwa na kupanda kwa gharama za maisha. Askari waliwarushia mabomu ya machozi waandamanaji ambao...
  15. Equation x

    Huyu singo maza anataka nifanye maamuzi magumu

    Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini. Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau kusukuma damu, na kuanza kumpenda. Changamoto aliyonayo, ni kutokuwa na uwezo wa kuniridhisha...
  16. Replica

    Spika Tulia Ackson ampa Onyo kali Mwita Waitara kutorudia kudharau madaraka ya Spika

    Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza. Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge inayomtaka kukata rufaa kwa maandishi endapo hataridhika na maamuzi ya Spika badala yake akaenda...
  17. Kijakazi

    Maamuzi yote Tanzania hufanywa na Rais, anajificha kwa Watendaji!

    Kila kinachoendelea Tanzania Rais ndiyo anayetoa maamuzi na amri kuanzia kupandisha bei za mafuta, umeme, kukamata raia kuwaweka rumande na kuwaachia pia kama akina Mbowe, Sabaya & Co. mpaka hili la kufukuzwa kwa Watanzania kwenye ardhi yao kwa mitutu ya Bunduki ni rais ndiyo anafanya siyo...
  18. B

    Kivukoni - Kigamboni maamuzi magumu yafanyike; Wakazi watafute mbadala wa kutumia Kivuko maana kinafanya kazi kimoja

    MH. RAIS SAMIA ANAHITAJI WATENDAJI WA DHATI KIVUKONI KIGAMBONI NA MANISPAA KWA UJUMLA Umati ni mkubwa. Kivuko kimoja tu ndio kinachofanya kazi Muda wa kusubiri ni zaidi ya Saa moja
  19. Eric Cartman

    Rais anafanya maamuzi tu, ila taarifa za kuamua anapewa na wengine

    Kwa wale wanaodhani Magufuli alikuwa pekee wafikirie tena. Asilimia kubwa ya maamuzi yake ni report tu alizokuwa anasoma na kuamua kutokana na option anazopewa. Nape, Mwigulu na Makamba; eleweni vita mnavyonunua sio na marehemu bali watu waliohai. Kibaya zaidi hiyo vita kapewa mtu ambae...
  20. Sky Eclat

    Si wanaume wengi wangefanya maamuzi aliyoyafanya Matuga

    Matuga ni kijana kutoka kijijini, alianza hustle zake baada ya kumaliza darasa la 12. Aliuza mazao na kuweka pesa mpaka alipofanikiwa kupata nauli na hela kidogo ya kujikimu alikwenda Afrika ya Kusini. Bahati nzuri aliongea Kiingereza cha kueleweka shukran imwendee kiongozi wake wa dini kwani...
Back
Top Bottom