maamuzi

  1. The Supreme Conqueror

    Maamuzi ya Serikali Yaliyositishwa Siku Chache Baada ya Kutangazwa 2022

    Katika kipindi cha mwaka huu wa 2022, Tanzania imeshuhudia mkanganyiko mkubwa ukitokea kwenye maamuzi ya Serikali ambapo ilikuwa ni kitu cha kawaida kusikia uamuzi fulani umesitishwa siku chache tu baada ya kutangazwa. Ni mikanganyiko ambayo imewapa picha baadhi ya wafuatiliaji wa mambo kwamba...
  2. GENTAMYCINE

    Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  3. Lanlady

    Kama kweli ndivyo ilivyo, basi ni vigumu kwa viongozi kama hawa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa

    Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu. Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha kazi au hatuna maarifa? Huyu naye kula huku amesimama na soda mkononi, atatusaidia kweli kufikiri kwa...
  4. MamaSamia2025

    Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

    RC Mtaka ni kiongozi mzuri lakini naona huwa anavuka kabisa mipaka labda kwa kujua au kutokujua ila mwishoni huonekana ni kama vile maamuzi binafsi ya kujijenga kisiasa. Mara kadhaa ameshawahi kuleta misuguano hadi na waziri wa elimu kutokana na maamuzi yake ambayo huwa hataki kabisa yapingwe...
  5. N

    Waziri Mkuu Majaliwa na uhalali wa maamuzi hadharani

    Tumeshuhudia Waziri Mkuu Majaliwa, akikemea hadharani, watuhumiwa (Innocent Till Proved Guilty Under the court of law) Kwa Mujibu wa Vyanzo vyake. Watuhumiwa Hao Wa makosa mbalimbali, Ni watendaji Wa Kada za Chini Na za kawaida, Hasa Tamisemi, Elimu. n.k. Japo kukemea kunarekebisha Tabia...
  6. Logikos

    Tatizo siyo kutokufanya bali ni kufanya maamuzi

    Nadhani tunapotoka; Wote tumekuwa tukipigia kelele Mamlaka makubwa ya Rais (hilo ndio Tatizo), ndio maana nililaumu kipindi cha JPM kuamua yeye kama yeye na siyo wadau kuhusu miradi (eti Miradi ya JPM na sio ya Watanzania), au Taasisi ya Rais kufanya maamuzi ya Mahakama na siyo taasisi husika...
  7. S

    Bandari inatosha kuendesha uchumi, tunahitaji maamuzi ya kimapinduzi tusirudie yale ya TICTS

    TANZANIA imekuwa kiungo muhimu kwanchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati. Bandari zake za Dar es Salaam, Tanga naMtwara zimekuwa lango muhimu la bidhaa na biashara kwa nchi za Zambia, Zimbabwe, DRC, Malawi, Burundi, Rwanda na hata Uganda. Hivi Karibuni nikiwa...
  8. Mivyumba

    Kuwa na Tabia Njema / Mbaya huwa ni Maamuzi ya Mtu binafsi

    Habari za Wakati Huu wakuu!! Nina Ushauri Mdogo kwa Wale wanaokatishwa kuingia Kwenye Mahusiano na Baadhi ya Makabila Eti Kisa Sifa flani ulizisikia kutoka kwenye hayo Makabila. Je,Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye Kabila lako/ ukoo wako ukazikosa hizo Tabia??? Kama MOYO wako Umempenda mtu...
  9. P

    Elfu ishirini kila siku ya umeme mpaka 2025! Laana mbaya inawahusu wafanya maamuzi Serikalini

    Kombe la dunia ndio habari inayotamba kwa sasa. Mataifa 32 yenye ubora wa viwango vya soka yanachuana mpaka zinabaki timu mbili halafu zinagombea kombe siku ya fainali. Mpira ni mchezo wenye kupendwa kuliko michezo mingine yoyote ile. Hawa tunaowaona wamejaa majukwaani na matarumbeta yao wakiwa...
  10. Songambele

    Wakubwa wananunua Mechi, Maamuzi ya ajabu

    Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo desturi mtataka ushahidi lakini angalieni hizi mechi zinavyochezeshwa yaani mpaka Refa anayo matokeo...
  11. zitto junior

    Uharaka unahitajika kwenye maamuzi ya CHADEMA

    Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano. 1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi...
  12. MK254

    Museveni asema asiyeridhishwa na maamuzi yake aje Ikulu ampige

    Mzee amechoka kujieleza, ametoa kauli asiyeridhishwa aje ampige, sio kuongea ongea huko... njooni mnipige...ha ha ha!!
  13. Jerlamarel

    Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  14. Analogia Malenga

    Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

    Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi. Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
  15. Kamanda Asiyechoka

    WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

    Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora. Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini. Mbowe amecollude na...
  16. chillo clan conscious

    Maamuzi ni yako kati ya KUISHI ama KUDUMU

    Naam wana Jamii Forum (Jukwaa) Binafsi me ni mzima na nyie natamani muwe hivyo ila kama kuna mmoja wetu hayupo sawa kiakili, kiafya, kiuchumi basi asikaribishe nia ya kukata tamaa. Nafkiri andiko juu lina someka vizuri "MAAMUZI NI YAKO KATI YA KUISHI NA KUDUMU". Nafkiri misamiati mikuu ya...
  17. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kamati Kuu ya CCM fanyeni maamuzi magumu. Mpumzisheni Rais Samia, Serikali yake ni kigeugeu!

    Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa hatari wa ugaidi KILA siku anakaribishwa ikulu Sasa unajiuliza Mbowe aliyekuwa Gaidi Ndio huyu wa...
  18. AbuuMaryam

    Ni nani aliyefanya research iliyoleta maamuzi kuwa mtoto anakuwa mtu mzima akiwa na miaka 18?

    Hili swali najiuliza sana...? Ni nani anayemjua mwanadamu kiasi kwamba akatuamulia dunia nzima tukasema.... Mtu ataendelea kuwa ni mtoto mpaka afikishe umri wa miaka 18. Kiasi kwamba ile sheria ya ndoa inaruhusu mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea anaweza kufunga ndoa...hawa wanaharakati...
  19. CM 1774858

    Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
  20. NetMaster

    Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

    Asante kwa JF humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi... Kisa changu Nilimuaga ex girlfriend wangu kwamba nimepata safari ya kikazi nitakuawa nje ya mji kwa muda flani kuna...
Back
Top Bottom