maamuzi

  1. Pang Fung Mi

    Je mwenye kutulia ametulia na staha tulivu, na ana ufikiri , ushauri na maamuzi tulivu kwenye siasa?

    Wasalaam JF, Kimya chenye mshindo hubeba dhana ya uzito wa tatizo, na kiwango Cha dhoruba kinampata. Kuna sehemu mpaka Leo pameandikwa. "Usikonjoe hapwa" na bado watu wanakonjoa pale. Ni hayo tu Tulia na utatulizwa Ndio mimi Wadiz
  2. D

    SoC03 Utawala Bora na kukuza ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya kijamii na uchumi

    Utangulizi Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi, uwajibikaji, haki, na kuheshimu haki za binadamu unaimarisha demokrasia na kuleta ustawi katika taifa...
  3. Lord denning

    Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

    1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu 2. Kufanya kiswahili kuwa...
  4. M

    Wakati mwingine ni bora hata kutojua maamuzi ya ovyo yanayofanywa na watanzania wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza. Inauma sana

    Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
  5. Mwachiluwi

    Maamuzi ya watu wachache yanakuja kugharimu watu wengi na wote

    Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu.. Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi...
  6. Analogia Malenga

    Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

    Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
  7. mtwa mkulu

    Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

    Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo. Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu "Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu. Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka...
  8. T

    Muda wa maamuzi magumu ni sasa

    Katika kitabu cha Shaban Robert kiitwacho Kusadikika, Mtunzi anashauri 'Ng'ombe kurejea zizini kusaidiwa baada ya kuvunjika marishoni, sio kosa'. CCM imevunjika, irejee zizini kusaidiwa ili kusonga mbele. Maandalizi ya uchaguzi wa 2025 ni sasa hivyo kama chama tufanye maanuzi magumu ili...
  9. F

    LATRA ajali za usiku zisiwafanye mbadili maamuzi, wapeni madereva muda wa kuzoea safari za usiku

    Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea. Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
  10. peno hasegawa

    CCM kimeanza kuumana

    Bandari, bandari Bandari ===== Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World
  11. machoo

    SoC03 Kuwezesha Ushiriki wa Wanawake katika Maamuzi ya Afya

    Utangulizi Hali ya ushiriki wa wanawake katika maamuzi ya afya ni suala muhimu linalohitaji kipaumbele katika jamii zetu. Wanawake wana haki ya kuchangia katika maamuzi yanayohusu afya zao wenyewe, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hata hivyo, katika sehemu nyingi duniani, wanawake bado...
  12. Mwl.RCT

    SoC03 Moyo wa simba: Kuimarisha ujasiri na uadilifu katika maamuzi yako

    MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa kila wakati, kuanzia chakula cha kula hadi kazi ya kufanya. Hata hivyo, si maamuzi yote tunayofanya...
  13. mwanamichakato

    Rais Samia tunakuomba hutubia taifa, omba radhi, fanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huu nchi ipone

    Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu. Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
  14. B

    Nani hasa anafanya maamuzi katika nchi hii ya Tanzania?

    Asalaam, Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, uchungu ni mwingi, furaha ni kubwa, vijembe na tambo mbali...
  15. C

    JKT Ruvu kama hamkuwa tayari kupokea watoto wetu kulikuwa hamna haja ya kusumbua wazazi

    Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo...
  16. Mwachiluwi

    Mwanaume alivyo katika maamuzi na maisha yake ki ujumla ni matokeo ya utamaduni

    Hellow africa Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanaume ni wabinafsi,waongo, wanyonyaji, watesaji, wababe, hawataki kusaidia kazi za nyumbani na mengine mengi Ukweli upo hivi Culture imemtengeneza mwanaume kuwa jasiri na mtoa maamuzi ya mwisho katika familia ndio maana ata kama...
  17. Infinite_Kiumeni

    Jiulize haya ili uweze kufanya maamuzi haraka na ujipunguzie mzigo wa mawazo (stress)

    Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje? ~ Je, kitanisaidia kusonga mbele? ~ Ni kitu gani ningependa kitokee? Ukishajipatia majibu ya hayo...
  18. Mwl.RCT

    SoC03 Kiini cha utawala bora ni kuhakikisha kwamba wananchi wana sauti katika maamuzi yanayowaathiri katika maisha yao ya kila siku

    Imeandikwa na: Mwl.RCT Utawala bora ni mchakato muhimu katika kusimamia na kuongoza jamii kwa njia inayoheshimu na kuzingatia haki na maslahi ya watu wote. Hata hivyo, katika nchi nyingi za Afrika, utawala bora bado ni changamoto kubwa. Kuna ukosefu wa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    Maamuzi ya Mawaziri 8 na Baraza la Mawaziri Kuhusu Ugawaji wa Maeneo Kaliua Yaheshimiwe

    MHE. MUNDE TAMBWE APIGILIA MSUMARI MAAMUZI YA TIMU YA MAWAZIRI NANE NA BARAZA LA MAWAZIRI KUHUSU UGAWAJI MAENEO KALIUA Mbunge Viti Maalum Wanawake Mhe. Munde Abdallah Tambwe amemshukuru Waziri wa Maliasili na Utalii kwa tamko lake la kusema Maamuzi ya Timu ya Mawaziri Nane (08) ya Baraza la...
  20. Heart Wood.

    Ni kwanini maamuzi mengi ya Viongozi (Serikali) yanapingwa sana na wananchi walio wengi?

    Ni kweli kuwa huwezi hufanya jambo la kuwafurahisha watu wote. Na si kila mtu atapendezwa na mambo uyafanyayo hata kama ni mazuri kiasi gani, Ila basi angalau mambo yaliyo mengi ufanyayo yapendezwe na walio wengi.! Mie nachukulia JF kama case study. Ukiachana na watu wachache sana ambao wao...
Back
Top Bottom