'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar.
'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024 itatumika kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono kwenye michuano ijayo ya majira ya joto...
Nilipokuwa na miaka 21 Najutia kulazimisha penzi na mwanamke ambae hakunipenda, nilipoteza almost mwaka mzima kulazimisha kisichowezekana, nilijifunza kwa uchungu zaidi mapenzi hayalazimishwi nilipoona ana mimba na kaenda kutolewa posa.
Nakumbuka niliwahi kupoteza mwaka mzima kujaribu...
Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia.
Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.
Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa...
Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia.
Cha msingi zaidi ni...
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake.
Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya...
Hii nchi ina siri Sana, aliyekuwa kocha wa Singida Foundation Gate amelalamika kuingiliwa majukumu yake na Waziri wa Fedha, ikapeleka yeye kufanya vibaya katika kazi yake.
Mimi sipo hapa kwenye soka swali langu ni kwamba, kila timu ina mfumo wake wa uongozi, Sasa Waziri wa Fedha ndiye kiongozi...
Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume tunajisababishia wenyewe.
Kila failed long term relationship ni kosa la mwanaume na sio la mwanamke...
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake...
Mfumo wa Demokrasia unahitaji wananchi kushirikishwa katika maamuzi ya nchi yao kwa kuchagua viongozi na kutoa maoni yao kuhusu sera na sheria.
Ushiriki wa wananchi sio tu msingi wa mfumo huu bali pia ni njia ya kuhakikisha kwamba serikali inawajibika vilivyo kwa maslahi ya wananchi wake...
Ninajua si utamaduni wetu mtu kujihisi hatia na kuamua kujiuzulu. Dhana ya kujiuzulu kwa Tanzania bado inaonekana kama udhaifu. Kwamba hata kama unanuka basi unakomaa tu. Unafia kitini.
Lakini kwa IGP Wambura ni muda muafaka kabisa wa kujiuzulu wadhifa huo ili ubaki kuwa mtu safi. Inakuwaje...
Ukweli usemwe
Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia wanayaacha yenye tija na kuendeleza yale mabaya yake.
Katika mambo ya kipuuzi aliyoyafanya...
Form 6 leaver ,tuliwaambia ,mmefaulu Sana fanyeni maamuzi sahihi
Selection za mwaka huu, nadhani zimewapa SoMo kubwa Sana,kuwa na sifa sio kigezo Cha kuwa selected!
"Mlifaulu Sana" hata kwenda chuo hakuna DVC wa chuo ataacha Div one 3 achukue one pts 7,
Mliopata hongereni, ambao bado msikate...
Ukiniuliza kule Ulaya ni Mshabiki wa Timu gani basi ni wazi kuwa ntakujibu Mimi ni Mshabiki na Mfuasi wa AC Milan.
Ukija Bongo ukiniuliza basi ntakwambia nipo Yanga, lakini pia ni mshabiki lialia wa Tangu na Tangu wa Club Deportivo Abajalo maarufu kama Abajalo Mnyama Mkubwa yenye Maskani yake...
Na Sam Ruhuza
Maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu Bandari!
Mahakama Kuu Mbeya chini ya Majaji watatu imetoa maamuzi yake kwenye kesi iliyofunguliwa na Wazalendo dhidi ya Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai.
Kwenye maamuzi hayo yenye kurasa 91...
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imesema linafanya uchunguzi baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Wadau wa Cameroon wakitaka kuchunguzwa kwa mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT).
CAF inachunguza maombi haya kwa kuzingatia na kwa mujibu...
Afrika ni bara tajiri sana. Hilo halina ubishi, wasomi wetu wengi wanakuja na ushahidi wa kila namna unaoshihirisha namna bara hili lilivyobarikiwa. Kuanzia juu kabisa kule Morocco mpaka Afrika ya Kusini pote huko kumejaa mali nyingi zilizo chini ya ardhi.
Uranium inayopatikana nchini Niger...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla.
Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa...
Nakumbuka 2002 niliazimwa cassete ya Nellyvile albam ya Nelly nikaenda kuirekodi nipate nakala, redio ikazunguka spidi ikala mkanda, kiukweli mshkaji alinimaidi sana maana ilikuwa ni casette original ametumiwa na ndugu yake kutoka Marekani. Nilijisikia vibaya sana kupoteza hii connection, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.