maamuzi

  1. J

    Nchini Israel kesi siyo lazima ifike mwisho Jaji anaweza kufanya maamuzi katikati ya kesi ili kuokoa muda, Tanzania tujitahidi tufike huko!

    Wakati mwingine mwenendo wa kesi na ushahidi vinakupa majawabu mwisho wa kesi utakavyokuwa. Ndio Israel ili kutopoteza rasilimali muda na fedha za walipakodi wakatoa fursa ya kumaliza kesi pale Jaji na marafiki wa mahakama watakapojiridhisha ushahidi "uliokwisha" tolewa unatosha kujenga...
  2. Maamuzi gani mabaya uliwahi kuyafanya yakakugharimu?

    Wasalaam, Kwenye maisha Kuna kukosea, ni jambo/mambo gani ulishawahi kuyafanya ukabakia kujuta Sana? Binafsi niliwahi kufanya yafuatayo! 1. Mwaka 2018 Kuna shamba Kama hekari 4 zilikuwa zinauzwa mahali, nikafika Bei vizuri mpaka process za kwenda kwa serikali za mitaa kukamilisha deals...
  3. L

    Maamuzi, kupata, kukosa

    Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu unachokihitaji hii ndio tunaita Scarcity of resources kwenye uchumi. Kwenye mchoro imewakilishwa na point F. Inamaana hiki ni kile kitu ambacho unakitamani sana ukipate lakin hauna uwezo wa kukipata kutokana na uchache wa mali zako, elimu yako nk...
  4. Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

    Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana. Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau...
  5. T

    Nani wa kusimama badala ya wapinzani wanapoumizwa na maamuzi ya viongozi wao?

    Leo nimekuja na swali mahususi kwa wapinzani lakini pia linaweza kuulizwa hata kwa CCM ikiwa nao wataanza kurithi tabia hii ya wapinzani ya kususa. Watu wana ndoto na mipango wanapojiunga na siasa na kwa siasa zetu zinafanyika kupitia vyama hivyo ninaweza kusema ndoto na mipango ya kisiasa ya...
  6. Waziri Mkenda: Nitatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema atatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi. Waziri Mkenda amesema hayo leo Januari 13, 2022 jijini Dodoma wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo...
  7. S

    Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

    Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture? State capture is a type of systemic political corruption in which private interests...
  8. B

    Waziri wa Utumishi na Katibu Mkuu Kiongozi, niwaombe mwarejeshe kazini waliofukuzwa kimakosa Kwa maamuzi ya kesi za prebagaining

    Naomba nitumie jukwaa la JF kuelezwa Jambo ambalo Watumishi wengi hasa wa Umma awalizungumzi ila Kwa anayefuatilia taratibu za kesi zilizofunguliwa 2015 watakubaliana na Mimi kwamba Watu waliteswa na wengine kupoteza kazi kwa utashi wa WATU wachache walioelekezwa kufanya walivyofanya. 1. Wapo...
  9. Z

    TCRA tuambieni nani alimshitaki Polep[ole? Kuna matatizo makubwa ya maamuzi.

    TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana. Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya TCRA lakini mwishoni mtu unaona ni kama upuuzi wa aina fulani vile. Haijulikani makosa yameanzia kwa...
  10. S

    Hii kesi ya Mbowe na maamuzi ya huyu Jaji, ni historia mbaya kwa watoto na wajukuu wa Taifa letu

    By Baba Mwita kupitia twitter: Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo ameshindwa kuthibitisha alifika hapo! Sasa, litakuwepo vipi wakati amekwambia alikuwa registered na...
  11. S

    Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
  12. Umuhimu wa Maamuzi ya leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Msingi wa Ling’wenya na wakili wake kuandika barua kwa RPC Ilala kuomba nyaraka za uthibitisho dhidi ya shahidhi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo ndogo ni kwamba shahidi huyo hakuwa Central Dar es Salaam, mwaka 2020. Hivyo kama mahakama itatupilia mbali pingamizi la Serikali, na...
  13. Epuka mambo haya matatu -- utanishukuru!

    Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo. Mambo matatu yenyewe: ( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi" ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa...
  14. M

    Kumbe tunaachana na Maamuzi ya Hayati na kufanya aliyoyakataa ili tupate kirahisi Pesa za Mabeberu na watufanye watakavyo?

    Hongereni kwa Ubunifu huo wa Kinafiki wakati nanyi pia mlikuwa ni sehemu ya yaliyokuwa Maamuzi ya Hayati huku mkisimama Hadharani Kuyapongeza na Kuyaunga mkono, ila leo baada ya Kumhifadhi Milele Kanda ya Ziwa mmembadilikia ghafla. Sasa KEROZENE nasubiri zangu kwa hamu mkubali na Pesa za hao...
  15. M

    Mnaobadili Maamuzi ya Awamu ya 5 ambayo mlikuwepo na hii ya 6 mnafanya yaliyokuwa hayatakiwi msisahau Kutubu Dhambi ya Unafiki wenu

    Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6 mmeyabadili bila hata Aibu ya Unafiki uliowajaa kutoka Bara mpaka Visiwani. Kwangu Mimi KEROZENE Mchawi...
  16. R

    Hivi maamuzi ya leo ya kesi ndogo ya Mbowe et al yalihusu nini? Issue Estopel? Res judicate? au Functus Officio? CA ina rejea ya hayo isome hapa chini

    What was the issue of contention, what was Liganga supposed to decide? Kama ni issues hizi: Estopel? Res judicata? au Functus Officio? Mahakama ya Rufaa ilishaweka msimamo kamili: ina rejea ya hayo isome hapa chini Jaji kakosea katika maamuzi yake ya leo? Ni ya Kiingereza labda itafsiliwe na...
  17. Waziri Aweso fanya maamuzi haya ili ubaki kwa kumbukumbu nzuri

    Pamoja na baadhi ya Watanzania kuona kuna madudu yanafanyika pmus kuwanyonya kutokana na baadhi ya viongozi kuingia kwenye siasa kwa mgongo wa wazee wao, bado mnaweza kuwaachia watanzania legacy ya kuwakumbuka hata msipokuwepo. MAJI; Nchi yetu imekuwa na janga la uhaba wa maji kwa miongo kadhaa...
  18. T

    Hivi Jaji hawezi kufanya maamuzi juu ya pingamizi papo kwa hapo?

    Wanasheria na wadau mnaofahamu naomba mrejesho juu ya kichwa cha habari hapo juu. Kwanini Jaji hawezi kutoa maamuzi ya papo kwa hapo au ndio sheria inavyotaka? Ili kufanya maamuzi madogo lazima ahirishe shauri kwa siku nzima?
  19. J

    Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

    TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu, " Hakuna kama Samia " Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha...
  20. K

    VETA na wizara husika msifanye maamuzi ya kukurupuka

    Habari za jioni wakuu, Hii kitu inaudhi sanaaa, yaani wanafunzi wametengeneza project zao kwa gharama halafu mnakuja ghafla tu eti mwaka huu hakutakua na project . Hivi mlikuwa wapi muda woote huo mpaka wanafunzi wametumia gharama zao ndio mnakuja kusitisha hivyo Hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…