maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Hakuna dawa ya kumroga mtu? maana nishaibiwa tayari na ujanja wangu huu

    Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia. Ila kadri siku vinavyosonga...
  2. Iran yaanza kurejesha nyumbani makamanda wake walio nje maana wanasakwa na Israel kwa mbinu zote

    Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira.... Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with...
  3. Video: Hii ndio maana halisi ya Fear Women

    Wanawake sio watu wa mchezo mchezo, kuwa makini sana na kiumbe kinachoitwa Mwanamke. ANGALIA VIDEO HAPA
  4. S

    Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  5. Ina maana ambao hadi leo hatujaumwa macho kama wengine tuna kinga imara?

    1. Waliobarikiwa zaidi na Mungu? 2. CD4 zao ziko Imara sana? 3. Hawajalaanika kwa Dhambi? 4. Wenye Kinga Kali mno? 5. Wenye Nyota zenye Kung'aa daima? 6. Wasio na Roho Mbaya na Wivu? 7. Wasiopenda kupiga Chabo? Asante sana Baba Mwenyezi Mungu.
  6. Wasabato majibu mnara wa freemason kwenye kaburi la nabii wenu Bi Hellen G White una maana Gani?

    Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi. Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani. Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
  7. Nchi hii haitafanikiwa kwenye jambo lolote la maana mpaka mwisho wa Dunia

    Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika. Kwa ufupi hata viongozi hawajui Tanzania na Watanzania wanahitaji nini. Watanzania wenyewe pia hawajui wanahitaji nini...
  8. Mwanaume ukisema nakupenda, maana yake ni nitegemee

    Kupenda sio hisia, ni uwezo. Mwanamke ukisema unampenda, anasahauu hapo hapo, ndo maana wanauliza unanipenda? Wanataka kusikia Unavyosema nakupenda maana yake ni nitegemee. Hivyo kama Umependa maana yake mpe hela ya kila kitu. Majukumu ya mwanamke ni kukuheshimu tu. Yaani mwanamke ukimpenda...
  9. Money printing maana yake nini?

    Imani yangu mko vema sana humu. Mimi Naenda moja Kwa moja kwenye mada naomba kuelezwa kwamba Kuna notion ya taifa kutumia fedha yake Kwa Kila kitu hata kununua bidhaa kutoka nje kw Hela yake. Lakini sisi hasa nchi zetu hizi Ili ununue bidhaa kutoka nje lazima utumie Dola ya marekani. ---...
  10. Pre GE2025 Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya kufanya maandamano yasiyo na tija wala maana yoyote na kuamua kwenda zake Nchini Ivorycoast kuangalia...
  11. Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na...
  12. Mkiacha urithi mkumbuke na ndugu zenu maana wanavyopambana kama wametafuta wao

    Zoezi la nduuugu wa marehemu kugombania mali limekua likiongezeka kila iitwapo leo Ingawa asilimia chache hufanikiwa ila wengi huteseka sana amahakaman Ushauri ukiona umeanza kuchoka wakumbuken na wadogo zenh maana mkifa wanakuja nammishale kama wametafuta wao na kufanya watoto kuteeeseka Na...
  13. Ijue sheria ya wosia

    Wosia ni maandishi au maneno anayo ya tamka mtu akielezea taratibu za mazishi yake,warithi, wake baada ya kifo chake WOSIA KATIKA SHERIA YA KIMILA Wosia wa maneno ya mdomo lazima wawepo mashahidi wasiopungua wanne na wawili kati ya hao lazima wawe ndugu WOSIA KATIKA SHERIA ZA KISERIKALI wosia...
  14. Naombeni mnikumbushe tena maana ya maisha

    Huenda mimi ni mmoja kati ya wale watu wanaosahau mambo haraka, kwa jinsi mambo yanavyosonga ni wazi kabisa nakosa maana halisi ya neno Maisha. Navurugwa na kupata mtungo wa maswali ndani ya kichwa change, nakosa majibu nabaki nakuna kichwa kwa mishangao mikubwa mikubwa. Unaweza kupata mgonjwa...
  15. Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
  16. Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

    Vipi wakuu. Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka kutumia mamlaka yake kama raisi kupambana na mtu au nchi inayomshinda kila kitu. Najua fika kuwa...
  17. L

    Pre GE2025 CHADEMA wana uchu na Uroho wa madaraka ndiyo maana hawafanikiwi

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni watu wenye uroho na uchu mkubwa sana wa madaraka.ndio maana kwa kila jambo linalojitokeza mbele yao wao huangalia ni vipi watapata na kufaidika zaidi na kupata madaraka kiwepesi. kuliko kuangalia ni vipi wananchi watapata faida na kunufaika.ndio sababu huwezi...
  18. Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

    Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani.... Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe...
  19. vijana msome mjaribu bahati ya ajira, mjiajiajiri / biashara, kuwa msanii au mwamichezo ni kundi halizidi watu elf 1 nchi nzima waliofanikiwa.

    >> MOVED <<
  20. Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

    Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake. Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu. Akimpenda sana bwana wake atazuia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…