maandamano chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Tundu Lissu: Sasa hivi Mwenyekiti (Mbowe) anaitisha maandamano wanaenda yeye na binti yake, Watu wameenda wapi?

    Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. "Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha) kulikuwa na maandamano ya CHADEMA kupinga yaliyokuwa yametokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, maandamano...
  2. LGE2024 Arusha: CHADEMA yatangaza Maandamano kupinga Ukiukwaji wa Taratibu za Uandikishaji

    Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa. Maandamano yataanzia Kata ya SEKEI eneo la Philips na kuishia...
  3. Mbunge Ndaisaba Ruhoro: Watanzania puuzeni migomo kwa kuwa haina mashiko

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO amewaomba watanzania kupuuza watu wachache wanaohamashisha maandamano nchini hasa wale wanaotumia mitandao kufanya vikao vya kichochezi Mbunge Ruhoro aliyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara, Kijiji cha Kumubuga, Kata ya Nyamagoma...
  4. Hivi Jeshi la Polisi linatumia kisingizio Cha intelelejinsia kuminya haki ya kufanya siasa Kwa chama Cha CHADEMA?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
  5. Dunia ilivyojaa unafiki wanaojifanya wanamsapoti Tundu Lissu na kumdhihaki anapowaita kwenye maandamano!

    Pindi anapojitokeza lissu kutoa tamko flani utawaona watu wengi wanajitokeza kujifanya wapo pamoja nae, lakini Lissu anapowaita wamuunge mkono kwenye jambo mfano ni 23/9/2024. Kila mmoja bila haya wala soni wanamkatalia kweupe kwa kutokuitika wito kuonyesha jinsi walivyo wanafiki hakuna hata...
  6. Nawashangaa polisi kuhamasisha wananchi kushiriki michezo wakati waliwakataza kutoa kilio chao juu ya utekaji na mauaji

    Leo nimepita Mahali fulani nikasikia Gari la matangazo la jeshi la polisi likihamasisha wananchi kujitokeza uwanjani kushiriki michezo na kukaa pamoja kufichua uharifu na mambo mengine. Nacho shangaa juzi tu polisi waliwatisha wananchi wasiandamane kupeleka kilio chao cha masahibu ya kutekwa...
  7. M

    CHADEMA muda upo upande wenu sana, hakikisheni mnaandaa maandamano tena na tena mpaka yafanyike kwa mafanikio

    Salamu kwenu wanaCHADEMA Nakupeni pole na kuwapa pole wabongo wenzangu kwa matendo ya utekwaji na mauaji ya wananchi wasio na hatia. Kwa kweli nchiyetu kwa sasa hali inatisha, ombea usiingie katika mikono ya hawa chinjachinja, wauaji ambao mikono yao imeloa damu. Niwapeni pongezi kwa jitihada...
  8. T

    SI KWELI Hizi ni nyumba za jeshi la polisi

    Hii picha inayosambaa mitandaoni ikionesha nyumba za bati na kuelezwa ni za jeshi la polisi, imekaaje wadau?
  9. Pre GE2025 Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Ameyasema hayo katika kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika...
  10. Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

    Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi. Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza...
  11. Mafanikio ya CHADEMA kwa kivuli cha maandamano

    Rais Samia Januari 2023 wakati akizungumza na viongozi wa vyama vya kisiasa, katika kikao kilichofanyika katika Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu Hassan alitoa tamko la kuruhusu shughuli za nje za kisiasa, ikiwemo mikutano ya hadhara. Wengi waliamini ndio mwanzo mpya wa uhuru wa kisiasa...
  12. Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza Upinzani hamna!

    Wanaukumbi. Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza. Swali: 1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania? 2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini? 3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO? 4. Mbowe...
  13. B

    Tanganyika Law Society (TLS): Jeshi La Polisi limekosea katika kuzuia maandamano

    🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU. Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September 2024 walikosea https://m.youtube.com/watch?v=azUKcQAt0jc Rais wa TLS akiongea na jopo la...
  14. Hakuna haki bila wajibu! Haki sio hisani ni stahiki inayopaswa kutolewa. Haki ya kufanya mikutano na maandamano ni haki kakini pia watimize wajibu

    Wanabodi, Kama kawa, Ukiangalia nguvu iliyotumika jana kuzuia maandamano ya Chadema, nguvu hiyo ingetumika kuyalinda maandamano hayo badala ya kuyazuia! Mada ya leo ni kuhusu haki, hakuna haki bila wajibu!, haki sio hisani ni stahiki inayopaswa kutolewa bila kuombwa. Haki ya kufanya mikutano...
  15. Mbowe: Septemba 24, Tutakaa na Viongozi wengine na tutatoa tamko kama tutataendelea na maandamano au laah!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi. Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama...
  16. Alivyokamtwa Lema kwenye ndege ni sawa tu alivyochukuliwa mzee Ali Kibao kwenye basi

    Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato. Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya...
  17. Umoja wa Wakulima nchini - hongera sana kwa Jeshi la Polisi kwa ulinzi na udhibiti wa viashiria vya hatari nchini

    Tanzania ni kisiwa cha AMANI NA UTULIVU duniani. Tukiharibikiwa hatuna pa kukimbilia - majirani zetu wote wako ktk maisha ya mshikaki. Wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakitangaza mfululizo habari za kuwepo maandamano kila mkulima nchini alipata wasiwasi juu ya matokeo ya maandamano iwapo...
  18. Maandamano, Lissu kapoteza, Mbowe Kapata: Uchambuzi wangu

    Maandamano yaliyofanyika leo Tundu Lissu hakuonekana hadharani akiongoza wala kushiriki maandamano. , kuna dalili za mabadiliko ya kipekee katika uongozi wa chama na nguvu za kisiasa ndani ya chama hicho. Kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahusiana na athari hizi, yakiwemo ushawishi wa viongozi...
  19. Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

    Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa. Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1. Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege. ====== Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
  20. Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

    Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania. Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani kutokuwepo kwenye eneo muhimu la kimaamuzi kupitia uchaguzi. Naamini baada ya kuliona hili viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…