maandamano chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni. Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka...
  2. Mshana Jr

    Hasara iliyopata mamlaka kwa hofu ya kufikirika..! Faida waliyopata washika dau wa falsafa ya kula kwa urefu wa kamba!

    Kama ikitokea mamlaka huru ikapiga hesabu ya pesa, nyenzo na muda vilivyotumika kuzuia maandamano ya maombolezo ya CHADEMA ya leo tar 23.09.2024 basi kuna watu wanaweza kuwajibishwa pakubwa sana..! Fursa fursana .. Kufa kufaana...! Kwa kauli ile ya kula kwa urefu wa kamba ..maandamano haya...
  3. Erythrocyte

    Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

    Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua. Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote. Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
  4. Erythrocyte

    Orodha ya Viongozi, Wanachama, Wananchi na Waandishi wa Habari waliokamatwa kwenye Maandamano ya CHADEMA

    Orodha hii itaendelea kuboreshwa kwa kadri Majina mengine yanavyotufikia. Hii ni orodha ya viongozi, wanachama, wananchi na waandishi wa habari walioathirika na kushikiliwa na Jeshi la Polisi leo tarehe 23 Septemba, 2024. Mheshimiwa Freeman Mbowe - Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Tundu...
  5. Erythrocyte

    Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre lazingirwa na Polisi ili kumkamata John Mnyika

    Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu? Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka kambi kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre, kumsaka Katibu...
  6. Tlaatlaah

    CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

    Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa? Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na...
  7. F

    Kitendo cha kukamatwa viongozi WACHADEMA kwa kutaka kuandamana kwa amani kimeleta taswira ambayo si nzuri serikali ya Awamu ya Sita

    Kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana kwenye video akikamatwa wakati anaongea na waandishi wa habari. Hapo ni kabla ya kufanya maandamano ambayo hata kama angeyafanya katiba ya Jamhuri ya Muungano haimkatazi. Mheshimiwa Mbowe amekamatwa pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA akiwepo mkamu...
  8. Q

    Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

    By Reuters NAIROBI, Sept 23 (Reuters) - Tanzanian police arrested two opposition leaders again on Monday, their party and police said, to stop anti-government protests in the commercial capital Dar es Salaam. The main opposition party CHADEMA's chairman Freeman Mbowe was detained on the street...
  9. Roving Journalist

    Muliro: Wanaoshangaa kuwaona Askari Mtaani wakiwa na mitutu, wana vimelea vya uhalifu

    Akiulizwa swali na Mwandishi wa habari kuhusu kuwepo na wimbi kubwa la askari walioshikilia silaha za moto mitaani tofauti na ilivyozoeleka, Kamanda wa Kanda ya Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa wananchi hawana hofu wanaendelea na majukumu yao kama kawaida. Amesema kuwa Watu...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Kipi ni Rahisi, serikali kutoa mabilioni kuwapa polisi ili kugharamia kuzuia maandamano ya siku moja au serikali kuamuru polisi kuwatafuta waliopotea?

    Service ya magari ya maji ya kuwasha, ununuzi wa vilipuzi, risasi, posho za maaskari na maafisa wa jeshi la polisi ambao wamepatakaa barabarani leo ni kubwa sana. Hata kama hujui hesabu lazima utajua tu sio chini ya bilioni 2. Huku vijana wa CHADEMA wanaosadika kutekwa hawazidi 20. Polisi Kuna...
  11. Waufukweni

    Muandamanaji wa Kike adakwa na Polisi Magomeni akifanya maombi

    Tukio la mmoja ya waandamanaji wa kike ambaye jina lake halijafahamika, akamatwa na Polisi alipokuwa akifanya maombi, eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam. Septemba 11, 2024 Mwenyekiti wa Chadema, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na kuuawa, akiwemo...
  12. Yoda

    Nchi gani tofauti na Tanzania baadhi ya raia wake wanafurahia polisi kutoa kipigo kwa raia wengine karne hii?

    Bongo ina maajabu yake. Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii. Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
  13. N

    Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

    Kwema Wakuu! Nimeona nami kwa nafasi yangu hata kama ni ndogo, niishauri serikali kuhusu haya maandamano ya hawa ndugu zetu wa CHADEMA. Hakuna haja ya kutumia mabavu na ubabe kuzuia CHADEMA kuonyesha hisia za Maumivu ya ndugu zao waliouawa na kutekwa. Ni wanachama wenzao. Haitakuwa HAKI...
  15. milele amina

    Sababu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani ya September 23, 2024

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani kwa sababu kadhaa: 1. Kudhibiti Siasa: CCM inaweza kuona maandamano kama njia ya kuonyesha upinzani na kutishia ushawishi wao katika siasa. 2. Usalama wa Umma: Kuna hofu kwamba maandamano, hata kama ni ya amani...
  16. F

    CHADEMA akili kubwa: Maandamano waliyofanyishwa Polisi tangu juzi kuanzia Arusha, Moshi, Tanga, Pwani kuja mpaka Dar ni makubwa na ujumbe umefika

    Kuna mbinu nyingi tu za kuandamana hasa katika nchi ambazo demokrasia ya kuandamana ni ndogo; 1. Maandamano ya wananchi mtandaoni and kwenye vyombo vya habari 2. Maandamano ya wananchi mtaani 3. Kuwafanya viongozi wa serikali wahahe huku na huko 4. Kufanya vyombo vya dola viandamane bila...
  17. Msanii

    Jaribio la polisi kumkamata Dkt. Slaa kuelekea maandamano ya Septemba 23, 2024 lashindwa

    Leo ahsubuhi, mnamo saa mbili Polisi wakiwa katika mavazi ya kiraia walifika nyumbani kwa Dkt, Slaa kwa nia ya kumchukua. Dkt Slaa ambaye wakati huo alikuwa anasikiliza maoni ya Watanzania kupitia Club House akatoa taarifa mapema kwa baadhi ya Wanadiaspora, ambapo kelele zikaanza kupigwa...
  18. Bob Manson

    Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

    "OCD wa Tanga mjini nimemwambia Taarifa yetu ya Mikutano ya Hadhara tuliyowapa ina mikutano kuanzia Tar 10 hadi 24 Sep. Nikamwambia sisi tutaendelea na mikutano yetu 21 na 22 kwa kuwa HAIJAZUIWA. Jibu lake kwangu akaniambia wewe nitahakikisha namaliza huo mguu uliobaki. "Nimemwambia wacha mguu...
  19. dog 1

    CHADEMA waendelea na ajenda yao ya maandamano ya amani. Wapeleka barua Polisi kuomba ulinzi

    CHADEMA leo ijumaa imewasilisha taarifa ya Maandamano ya Amani tarehe 23 SEPTEMBA, 2024 kama sheria inavyoelekeza. Yaonyesha njia, ajenda na hitimisho litakuwa wapi. Watimiza masharti ya kuwasilisha taarifa saa 48 kabla ya Maandamano kufanyika. Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai...
  20. Tlaatlaah

    Tetesi: Viongozi wengi waandamizi CHADEMA tayari wana tiketi mkononi, kusafiri nje ya nchi wakati wowote kuanzia sasa

    Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, ikiwa ni pamoja na pasi maalumu za kusafiria, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa nchi zao humu nchini.. Jambo hili ni dogo, Lakini ni serious sana hasa kwa wanasiasa ambao maisha yao...
Back
Top Bottom