Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti.
Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe...
Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
Kwema Wakuu!
Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24 hayatafanyika.
Hayo mambo ya kusema sijui Bakabaka watafanya Usafi wala isije ikawa kisingizio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.