Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya imetoa ripoti mpya ambayo inaonesha kuongezeka kwa idadi ya matukio ya utekaji nchini humo dhidi ya wakosoaji wa serikali
Kwenye ripoti yao ya hivi karibuni imeonesha kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji takrbani 82 tangu maandamano dhidi ya...
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na Mathare slums.
2. Ruto akiteua girlgriend wake kuwa Waziri.
3. Poleni Gen Z, poleni Kibera, hizo...
Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi
Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
Katika taarifa iliyotolewa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kenya...
Watu wasiojulikana wakiwa kwenye pikipiki walifika katika ofisi za mwanaharakati Boniface Mwangi Jumamosi alasiri, wakisababisha vurugu na kuvuruga shughuli za kawaida katika eneo hilo.
Mwangi, ambaye alijibu tukio hilo baadaye, alifichua kwamba aliripoti suala hilo katika Kituo cha Polisi cha...
Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko yoyote katika Serikali.
Akizungumza na Wabunge wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM)...
Article 33(1) of the Constitution of Kenya provides that every person has the right to freedom of expression while Article 34(1) guarantees freedom and independence of the media.
However, the right to freedom of expression as well as the freedom and independence of the media does not extend to...
16 July 2024
Nakuru, Kenya
Mheshimiwa rais William S. Ruto wa Jamhuri ya Kenya alaumu mashirika ya kijamii yasiyo ya kiserikali pamoja NGOs kama mfuko wa wakfu wa US-Funded Ford Foundation.
NGOs nyenye makao yake katika nchi za kibeberu kwa kufadhili maandamano yasiyo na kikomo ya vijana wa...
Mwandishi wa habari wa Kenya, Catherine Wanjeri Kariuki, anayefanya kazi kwa Mediamax Limited, amepigwa risasi na polisi huko Nakuru wakati akiripoti maandamano yaliyoongozwa na vijana wakitaka rais aliyezingirwa William Ruto ajiuzulu. Alikimbizwa Hospitali ya Valley.
MediaMax inamiliki K24 TV...
Taarifa za sasa zinasema Muuaji wa Watu waliokutwa kwenye viroba huko Kware amepatikana na anahojiwa na Polisi kujua asili yake na sababu za kufanya Mauaji hayo.
Source: Citizen TV
====
DCI nchini Kenya, Mohamed Amin amesema mtuhumiwa aliyekamatwa ,auaji ya Kware, Collins Khalisia mwenye umri...
Breaking news
Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya
Citizen TV
======
Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko.
Katika kutangaza mabadiliko...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Profesa Kithure Kindiki, ametangaza kuwa Serikali itakushughulikia polisi na wahusika watakaopatikana na hatia ya madai ya kuteka watu kinyume na sheria kipindi cha Maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024
Waziri Kithure alisisitiza kwamba vyombo vya usalama vina...
Mtu mmoja aliwahi kuniambia usemi unaosema tujifunze kwa makosa hauko sahihi kwani kuna makosa hayatakupa muda wa kurekebisha chochote.
Ni kwa sababu ya hiyo dhana namuona Ruto alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuimbwa na historia kama Rais aliyejali wanyonge kwa kupunguza matumizi ya wakubwa...
Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space.
Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea.
Tusipo chukua notce kutoka Gen Z...
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not...
Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na...
Idadi ya waliojeruhiwa katika maandamano ya kupinga serikali yanaendelea kuongezeka, huku watu wengine 35 wakilazwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na majeraha ya risasi na majeraha mengine tofauti siku ya Jumanne.
Uongozi wa hospitali unasema idadi inatarajiwa kuongezeka usiku kufuatia...
Ni dhahiri sasa,
Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na Bunge la Kenya.
Muswada ule umefutwa tayari na Mh. William Samoei Ruto.
Ni nini kingine mnahitaji...
Ameandika Jesse Kwayu:
WIKI iliyopita imekuwa ya harakati nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kubwa ya yote ni kizazi kinachojulikana kama Generation Z kuingia barabarani nchini Kenya ili kuilazimisha serikali ya nchi hiyo kusikiliza kilio chao kuhusu ongezeko kubwa la kodi kupitia...
Alipokuwa akihojiwa jana tarehe 30/6 na waandishi wa habari, Rais Ruto alisema japo amekubali kuondoa na kutokusaini Finance bill hiyo lakini anasikitika sana kwani bill hiyo ilikuwa na manufaa makubwa wa wakenya wote na ililenga kuikomboa kuingia kwenye madeni makubwa.
Alisema kuwa Wakenya...
Ukiweka Siasa Pembeni hatuna Watangazaji levo za kuwakaribia Wakenya, na tuna kwama sana kama nchi, kama umefuatilia mahojiano ya leo jioni ya Ruto na Watangazaji wa habari utagundua kwamba tuna kosa sana Watangazaji aina ile.
Watatangazi wetu ni weupe sana hata aina ya vipindi vyao tu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.