Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, ACP Mkama, amewataka wananchi kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa mitandaoni kwa kueleza kuwa ni kinyume cha sheria na unaweza kuvuruga amani ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa Oktoba 24, 2025 wakati wa hitimisho la mazoezi ya pamoja ya majeshi yote ya ulinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.