"Kuzingatia maelezo ambayo ni msingi wa kikatiba na sheria, msimamo wa kisheria nchini ni kwamba haki ya kufanya mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba lakini utekelezaji wake unaweza kuwekwa chini ya masharti ya sheria inayolenga kulinda usalama, utulivu wa umma na haki za wengine. Kifungu cha...
Naweka kwa Muhtasari, Taarifa kwa Umma ya Luhaga Joelson Mpina ya Tarehe 6 Disemba 2025 (attachment)
Mtoa Taarifa: Luhaga Joelson Mpina (Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo aliyeenguliwa)
Inaongelea haya: Shauri la Kesi ya Rufaa, Uchaguzi Mkuu, na Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025.
1...
Wanabodi
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi
Kufuatia kilichotokea kwenye yale maadhamano haramu ya tarehe 29 October, na kutaka kujirudia tarehe 9 Desemba, 2025, kiukweli tishio la maandamano limesumbua nchi, watu wamejifungia ndani, wafanyabiashara wamefunga maduka yao!, huku vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.