Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mzee Butiku "Narudia maandamano ni haki ya kila mwananchi, ni njia ya kufikisha ujumbe wao"
Samia aliua huyu mama mjamzito! Shetani mkubwa!Weka video yote,siyo unachukua vipande vilivyokaywa kwenye akaunti za wanaharakati uchwara
weka hiyo video wewe.Weka video yote,siyo unachukua vipande vilivyokaywa kwenye akaunti za wanaharakati uchwara
Itakuwa ya kitambo; soon itasikia akiikana ili yasimfikeHuyu Mzee ni vuguvugu sana, ndimi zake mbili hazieleweki!. 🤔