Maelfu ya Wananchi walijitokeza katika maandamano makubwa zaidi dhidi ya Rais Kais Saied. Maandamano yalifanyika siku ya Jumamosi Oktoba 17, 2026 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Waandamanaji wanamtuhumu Rais Kais Saied kwa kudhoofisha demokrasia na kushindwa kusimamia uchumi wa nchi, hali...
Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya mahakama ya rufaa kuwahukumu viongozi kadhaa wa upinzani, wafanyabiashara na mawakili vifungo vya hadi miaka 45 jela
Katika uamuzi unaoonekana kuashiria kuongezeka kwa utawala wa kimabavu chini ya Rais Kais Saied, makundi hayo yalishitakiwa kwa kula njama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.