Kiongozi wa Upinzani Tunisia akamatwa na Polisi wakati wa Maandamano

Kiongozi wa Upinzani Tunisia akamatwa na Polisi wakati wa Maandamano

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya mahakama ya rufaa kuwahukumu viongozi kadhaa wa upinzani, wafanyabiashara na mawakili vifungo vya hadi miaka 45 jela

Katika uamuzi unaoonekana kuashiria kuongezeka kwa utawala wa kimabavu chini ya Rais Kais Saied, makundi hayo yalishitakiwa kwa kula njama ya kujaribu kumuondoa madarakani.

Wakati akikaribia kukamatwa, Issa na wanasiasa wengine wawili waliohukumiwa waliitaka upinzani uliogawanyika kuungana na kuongeza kasi ya maandamano dhidi ya Saied.

“Watanikamata muda si mrefu,” aliwaambia waandamanaji, huku akihimiza watu wa Tunisia kuendelea kupinga na kukataa udikteta.

Issa, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 20, amesema mashtaka dhidi yake hayana msingi na yamechochewa kisiasa.

Inatarajiwa kukamatwa kwa watu zaidi kunaweza kufuata.

Human Rights Watch siku ya Ijumaa ilielezea kesi hiyo kama “dhihaka ya haki”.

Katika hatua yake ya kunyakua madaraka mnamo Julai 2021, Saied alivunja shughuli za bunge na kupanua mamlaka ya kiuongozi, hatua iliyompa uwezo wa kutawala kwa amri.

Tangu wakati huo, amewafunga jela wakosoaji wake wengi. Saied anasisitiza kuwa hatua zake ni halali na zimekusudiwa kumaliza miaka ya vurugu na ufisadi uliokithiri



==============

Police in Tunisia arrested prominent opposition figure, Chaima Issa, as she took part in a protest in the capital on Saturday.

The move comes a day after an appeals court handed jail terms of up to 45 years to a group of opposition leaders, businessmen, and lawyers.

In ruling seen as a sign of increasingly authoritarian rule by President Kais Saied, they were charged with conspiracy to overthrow him.

Moments before her arrest, Issa and two other convicted politicians called on the divided opposition to united in escalate demonstrations against Saied.

“They will arrest me shortly,” she told the crowds, urging Tunisians to continue to protest and reject tyranny.

Issa, who was given a 20-year prison sentence, has described the charges against her as unjust and politically motivated.

More arrests are expected to follow.

Human Rights Watch on Friday described the trial as a “travesty of justice”.

During a sweeping power grab in July 2021, Saied suspended parliament and expanded executive power so he could rule by decree.

Since then, he has jailed many of his critics. Saied says his actions are legal and aimed at ending years of chaos and rampant corruption.
 
Back
Top Bottom