Kiongozi wa upinzani nchini Tunisia,Rached Ghannouchiamepoteza fahamu kwa muda akiwa katika Gereza la Mornaguia kutokana na wimbi kali la joto linalokadiriwa kufikia nyuzi 52 za Selsiasi.
Tukio hilo lilishuhudiwa na Haifa Chebbi, binti wa mwanasiasa wa upinzani aliyefungwa, Ahmed Nejib...
Kiongozi wa upinzani pamoja na viongozi wenzake wa chama cha Ennahdha wamehukumiwa vifungo virefu gerezani kwa kosa la kuanzisha idara ya usalama ya siri
Viongozi waliohukumiwa ni:
Rached Ghannouchi (Kiongozi Mkuu, miaka 84): Amehukumiwa kifungo cha maisha jela pamoja na miaka 30 ya ziada...
Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya mahakama ya rufaa kuwahukumu viongozi kadhaa wa upinzani, wafanyabiashara na mawakili vifungo vya hadi miaka 45 jela
Katika uamuzi unaoonekana kuashiria kuongezeka kwa utawala wa kimabavu chini ya Rais Kais Saied, makundi hayo yalishitakiwa kwa kula njama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.