Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amelaani vurugu zilizotokea wakati wa maandamano yaliyofanyika nchini humo mwishoni mwa wiki, akiahidi kuwa wote waliohusika watalazimika kulipa gharama za uharibifu waliosababisha.
“Wale walioharibu mali watalipa. Waliofanya uporaji watalazimika kufidia...
Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.