Maandamano Ufaransa, Rais Macron: Waliopora mali watalipa na waliojaribu kuipindua Jamhuri watawajibika

Maandamano Ufaransa, Rais Macron: Waliopora mali watalipa na waliojaribu kuipindua Jamhuri watawajibika

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079



Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amelaani vurugu zilizotokea wakati wa maandamano yaliyofanyika nchini humo mwishoni mwa wiki, akiahidi kuwa wote waliohusika watalazimika kulipa gharama za uharibifu waliosababisha.

“Wale walioharibu mali watalipa. Waliofanya uporaji watalazimika kufidia hasara. Na wale waliojaribu kuipindua Jamhuri watalazimika kuwajibika,” amesema Macron.

Maandamano hayo yalianza mwezi uliopita yakiongozwa na wanafunzi waliokuwa wakidai kuboreshwa kwa mazingira ya shule na kuongezwa kwa walimu, kabla ya kupanuka na kuwa vuguvugu kubwa lililochochewa na malalamiko kuhusu ukosefu wa usawa, matumizi ya fedha za umma na hali ya maisha.

Soma Wananchi kuwasha moto mitaani kwenye Maandamano Ufaransa ya kutaka Rais Macron ajiuzulu

Ingawa waandamanaji wengi walifanya maandamano kwa amani, baadhi ya makundi yalijihusisha na uporaji, uchomaji wa mali na mapambano na polisi, hali iliyosababisha uharibifu wa majengo ya umma na biashara katika miji kadhaa.

Source: CGTN
 
Huko mbona hatujasikia kwamba maelfu ya waandamanaji wameuwawa na miili kupotea na wengine kutekwa na kupelekwa kusikojulikana...!!!???

Tofauti kati ya mwafrika na mzungu ni kama mchana wa jua na usiku wa giza.

Shida kubwa ya waafrika ni kwamba hatuwezi kujifunza mema wanayofanya wazungu ila tuko wepesi sana kujifunza mabaya tu.

Waafrika ni bure kabisa.
 
Zamu yao kwasasa kufungua kesi za uhaini

Sisi mechi yetu hakuna kupoaa!!!
 
Huko mbona hatujasikia kwamba maelfu ya waandamanaji wameuwawa na miili kupotea na wengine kutekwa na kupelekwa kusikojulikana...!!!???

Tofauti kati ya mwafrika na mzungu ni kama mchana wa jua na usiku wa giza.

Shida kubwa ya waafrika ni kwamba hatuwezi kujifunza mema wanayofanya wazungu ila tuko wepesi sana kujifunza mabaya tu.

Waafrika ni bure kabisa.
Wazungu walishafundiahwa ustaarabu na wakastaaribika. Hata wanaofanya fujo kwenye maandamano ni weusi na waarabu kwa sehemu kubwa. Kwa hiyo usitegemee kudhibitiwa kistaarabu katika nchi ambayo waandamanaji hawana ustaarabu na wanaowazuia wametoka jamii ambayo haina ustaarabu.
Ukifanya fujo kwa katika mazingira ya wasiyokuwa wastaarabu ni kwamba huko tayari kwa lolote kwa sababu kuna wasiyo wastaarabu kama wewe wanakuwa wanakutamani wakuoneshe kwamba hata fujo nao wanaziweza.
 
Huyu ng'ombe acha akipitie alikuwa mstari wa mbele kumbagaza Netanyahu alivyokuwa akideal na Hamasi.


Ufaransa imejaza radical Muslims kutoka north Africa na middle east Hawa ndio wanawasumbua.


Magaidi dawa Yao ni ule moto wa Israel. Gaidi haelewi lugha ya Diplosia.
 
Back
Top Bottom