maandamano ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano Ufaransa, Rais Macron: Waliopora mali watalipa na waliojaribu kuipindua Jamhuri watawajibika

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amelaani vurugu zilizotokea wakati wa maandamano yaliyofanyika nchini humo mwishoni mwa wiki, akiahidi kuwa wote waliohusika watalazimika kulipa gharama za uharibifu waliosababisha. “Wale walioharibu mali watalipa. Waliofanya uporaji watalazimika kufidia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili hawayaoni maandamano ya Ufaransa? Mbona ya Tanzania wanayaripoti?

    Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake? Maandamano ya Iran nayo tuliyaona Mbona ya ufaransa kimya? Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu? Hawaoni watu wakiuawa? Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…