Wakati zikiwa zimesalia siku sita kabla ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya maandamano, vyama vya ACT Wazalendo, CUF, NCCR Mageuzi, AAFP, ADC na Demokrasia Makini vimesema havitashiriki na haviungi mkono kufanyika kwake.
Wakizungumza mbele ya waandishi wa habari leo Alhamisi...