maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matulanya Mputa

    CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

    Taifa lipo katika msiba, huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano, je mpo sahihi? Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa. TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO Pia soma - Mbowe...
  2. Mjanja M1

    Mbowe: Nitaongoza maandamano wakati taifa likiwa kwenye maombolezo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ametangaza kuongoza maandamano ya taifa ya amani Jijini Mwanza. " Kwa mapenzi ya Mungu, nitaongoza maandamano ya Taifa ya Amani Jijini Mwanza, Alhamisi 15 February 2024 Taifa likiwa katika maombolezo ya Hayati Edward...
  3. Suley2019

    Pre GE2025 CHADEMA: Tunaendelea na maandamano, maombolezo yanaisha kesho Februari 14, 2024

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema maandamano yataendelea kama ilivyopangwa kwa kuwa siku tano za maombolezo zitamalizika kesho Februari 14, 2024. Pia soma: Mwitikio Maandamano Chadema yawasikitisha wengi Machifu Mbeya wapinga Maandamano ya...
  4. Erythrocyte

    Pre GE2025 Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani kupinga ugumu wa maisha, miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika. Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila ameongoza...
  5. Mjanja M1

    Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  6. S

    Je, CHADEMA wataahirisha maandamano kufuatia kifo cha Edward Lowassa?

    Inajulikana kwamba Edward samefarika akiwa kada wa CCM, lakini 2015 alikuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA. Je, CHADEMA watampa heshima stahiki kwa kuahirisha maandamano?
  7. Poppy Hatonn

    Polisi wanaporuhusu maandamano saa 48 kabla ya kuanza inaonyesha hakuna demokrasia Tanzania

    Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo Polisi,sio Mkuu wa Mkoa wanaonekana kuwa na taarifa yoyote ya maandamano. Kiongozi wa serikali...
  8. D

    Kwa nini maandamano ya Mwanza hayana promo?

    Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
  9. Mjanja M1

    Maandamano CHADEMA yasogezwa mbele

    Mhe. Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa habari leo hii amesema, "Maandamano ya amani Jijini Mwanza yatafanyika tarehe 15 Februari 2024 badala ya tarehe 13 Februari 2024" CHADEMA imesema mabadiliko hayo yamekuja baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela kuwaeleza kuwa Uwanja wa...
  10. Erythrocyte

    Pre GE2025 Washiriki wa Maandamano ya Chadema kwenye Majiji Matatu watashangaza wengi, wamo Vigogo kadhaa usiowadhania

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Maandamano yajayo ya CHADEMA kwenye majiji matatu, yatakusanya baadhi ya Watu ambao hukudhani kama wanaweza kuguswa na jambo hili. Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na...
  11. Juma Wage

    Dkt. Slaa: Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano sio lazima

    ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt.Wilbroad Slaa amesema pamoja na kutokushiriki katika siasa za jukwaani lakini hataacha kushirikisha uzoefu wake kwa vijana ili wautumie katika harakati zao. Slaa amezungumza hayo leo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa JAMBOTV nyumbani kwake...
  12. O

    Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

    Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee Ona hiyo attachment hapo chini.
  13. K

    Hofu ya CHADEMA ni kuogopa kusahaulika na sio kushindwa. Kuratibu maandamano ni kuonesha uwepo wao. CCM fanyeni haya...

    Tofauti kubwa ninayoiona kati ya CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mfano ACT Wazalenda ni kwamba CHADEMA wanaogopa kusahaulika na ACT wanaogopa kushindwa. Hofu hizo ndio zinazoendelea kuutafuna upinzani mpaka mifupa. Kitendo Cha CHADEMA kuambulia mbunge wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti...
  14. Determinantor

    Pre GE2025 Kitatokea nini endapo vyama vingine vya upinzani vitajiunga na maandamano ya CHADEMA?

    Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano?? swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote...
  15. Erythrocyte

    Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

    Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo...
  16. Mjanja M1

    Pre GE2025 CHADEMA yatangaza maandamano majiji matatu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali...
  17. Pascal Mayalla

    Kama maandamano Chadema yamewezekana chini yake. Ni uthibitisho wa uwezo wake KTK kutenda haki. Hata ile haki kuu pia ataitenda. Tuvute tu subra!

    Wanabodi, Kitu chanye nguvu kuliko kitu chochote duniani ni imani!, faith, ukiamini unafungulia milango ya nguvu fulani zilizoko ndani yako zinazoitwa "will power" ni nguvu za nafsi ambazo zina uwezo wa kufanya kila kitu. Wengi imani zetu tuezielekeza kwenye imani za dini kwa kuamini Mungu...
  18. B

    Sera ya maendeleo ya vitu, imesababisha uwepo wa miundo mbinu ya maandamano

    JAKAYA KIKWETE MUASISI WA JIJI JIPYA LA DAR ES SALAAM LENYE MIUNDO-MBINU YA KISASA Awamu ya nne chini ya rais Jakaya Kikwete kwa nia safi isiyo ya kidikteta iliasisi ujenzi wa barabara pana za kisasa na za njia nne hadi nane ni mradi wa maendeleao ya vitu ambayo sasa inatumika kuibana CCM...
  19. MDAU TZ

    Maandamano ya CHADEMA ni jitihada zisizo na majibu

    WAKATI niliposikia tangazo la maandamano lililotolewa na uongozi wa CHADEMA,Binafsi nilipata tumaini kuwa sasa ni ule muda uliosubiriwa na Watanzania kwa ajili ya kusimama,kupigana na kutetea haki zao za msingi kwa kupaza sauti kwa viongozi wao na kuwakumbusha juu ya wajibu na majukumu...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    Watanzania wengi ni wanafiki sana

    Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima. Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa...
Back
Top Bottom