Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu
Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA...
Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani.
Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati?
Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi...
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
SENEGAL: Rais Macky Sall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Desemba 15, 2024 hadi Machi 24 kutokana na maandamano yanayomtaka kuheshimu muda wake wa kuondoka madarakani.
Awali Rais Sall anayetakiwa kumaliza kupindi cha utawala wake kwa mujibu wa Katiba ifikapo Aprili...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024.
Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
Batanzania.
Ni baeleze.
Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post.
Ameandika:
Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano
Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana.
This is cheap politics.
Katika suala la maandamano kuna aina mbili maarufu za maandamano.
Moja maandamano ya amani haya pia unaweza kuyaita maandamano ya hisani au matembezi ya hisani .
Ni aina ya maandamano ambayo huhusisha njia za amani katika kukemea, kupongeza, kuunga mkono au kuonesha hisia kuhusu jambo fulani...
Lissu amesema sehemu nyingine duniani Polisi hutaja njia ambako maandamano yatapita na kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara pamoja watu wanaotumia barabara hiyo wajue itatumika kwa maandamo, lakini maandamano ya CHADEMA yanafanyika huku magari yanaingilia msafara wao wa maandamano.
Akiongeza...
February 5, 2020
Kilosa, Tanzania
Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha
Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno
Dkt. Tulia...
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta...
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu...
CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia maandamano yanayoendelea nchi nzima..
Umeme kwa sasa ndiyo kero namba moja kubwa Kwa sasa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu, ya kupinga Dhiki, Ufukara, Ugumu wa Maisha, Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula, pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi, Maandamano yanayoandaliwa na Chama chenye Maono CHADEMA, Sasa yameingia...
Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa...
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.