maarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moaz

    SABABU ZA AFRIKA KUSHINDWA KUBADILISHA MAARIFA NA ELIMU KATIKA LUGHA ZETU MAMA

    Sababu kuu zinazofanya mataifa mengi ya Afrika kuwa na hofu au kukosa ari ya kubadilisha maarifa na elimu zao katika lugha za asili ni mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kitamaduni, kiuchumi, na kimaadili. Hapa chini ni baadhi ya sababu kuu: 1. Urithi wa Ukoloni na Lugha za Kigeni Madaraka...
  2. L

    Wataalamu wa China watoa maarifa ya kujikinga na magonjwa kwa wanafunzi wa Zanzibar

    Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
  3. Dasvidaniya

    Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

    Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
  4. Faana

    Maarifa: Mizizi ya mgomba yaweza kutumika kama chakula

    Huko Indonesia shina la mgomba hutumika kama chakula baada ya ya mkungu wa ndizi kukatwa, video inaeleza process nzima
  5. Jack Daniel

    Ewe Mwanachuo unayehitimu, ongeza Maarifa na Stadi za Maisha kwani Ajira siyo uhakika kama zamani

    Elimu ni bahari Elimu ni hazina Elimu ni ufunguo wa maisha. Hii ni baadhi ya misemo inayochochea na kuhamasisha umuhimu wa elimu. Na muamko si mdogo Kwa miaka ya hivi karibuni ,Watu waliograduate ni wengi hali inayosababisha Ajira kuwa chache kwani mahitaji ni machache kuliko bidhaa...
  6. CHASHA FARMING

    Matunda ya mti wa Amarula, tuliyala sana kule kanda ya ziwa, Watu wangu wana angamia sana kwa kukosa maarifa.

    Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na tunda ila pia kwa ndani kulikuwa na karanga, zile. ndoi haswaa tulikuwa tunapenda ila ni kupasua kwa...
  7. S

    Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  8. S

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM. HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu. CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana. Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka. Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
  9. Rorscharch

    Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
  10. G

    Usipoteze muda kucheza games zisizo na tija, cheza "Simulator games" kujifunza ujuzi, kuongeza maarifa na fursa za kimaendeleo

    Simulator Games ni michezo inayolenga kutoa uzoefu wa maisha halisi kupitia mazingira ya kidijitali. Michezo hii inahusisha kuiga shughuli mbalimbali za kila siku au za kitaalamu, kama vile kilimo, udereva, upishi, au hata ueubani, n.k. michezo hii huweka mazingira halisi yanayosaidia wachezaji...
  11. de Gunner

    Maarifa ya zama hizi

    Sijakulia miaka ya 90, ila ukweli zama hizi watu wana information nyingi bila maarifa... Zamani unakutana mtu katoka chuo, kweli yuko confident na kile amesoma, ila siku hizi hadi form4 leaver hatofautiani na mwanachuo kabisa. Je nini tatizo? Kwa experience watu wanamaliza chuo bila...
  12. Rorscharch

    Wakatoliki mnaokimbilia kwa haya makanisa ya kinabii, njooni hapa turudishane njia kuu

    Ndugu zangu, majirani zangu, wana parokia wenzangu, na wanajumuiya wenzangu, ni wazi kuwa tunapitia changamoto nyingi zinazoweza kutufanya tuishi kwa kutetereka kiimani. Vishawishi vya dunia ya sasa vinatufanya kupoteza dira, huku tukishawishiwa kuamini kwamba suluhisho la changamoto zetu lipo...
  13. Manfried

    Ikiwa mtu anakutawala, anakuibia anakunyima haki yako anakuwa amekuzidi akili na maarifa

    Vyama vya upinzani vinakosa visionary people and great thinkers. CCM hawana mbinu za kutawala, kuongoza wala kutoa mwelekeo sahihi wa nchi . Ila unfortunately vyama vya upinzani vinakwama sehemu moja. Wanashindwa kuelewa watu wanahitaji nini na ni aina gani ya akili za wananchi. Natoa...
  14. Pang Fung Mi

    Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  15. Oya Tusepe

    Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
  16. Oscar Wissa

    Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  17. Mzee wa kusawazisha

    Naombeni, Maarifa ya kusimamia mtihani wa taifa.

    Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
  18. MakinikiA

    Ni bora kuwa na maarifa kuliko elimu

    NI BORA KIONGOZI MWENYE MAARIFA KULIKO MWENYE ELIMU
  19. dgombusi

    Je, ni kweli maarifa ya muhimu ndiyo yanayobaki baada ya kusahau unachojifunza shuleni?

    “ Elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau kila alichojifunza shuleni.” Hii ni nukuu maarufu ya Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo kihafidhina, bali ni uwezo wa kutumia maarifa, mantiki, na uelewa ambao mtu anapata kupitia elimu rasmi au...
  20. Sina Ndugu

    Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

    Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani . Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata Historia yenye kufunza . Karibuni!!!
Back
Top Bottom