Naomba tushauriane katika hili wakubwa.
Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi
1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting
2. Bachelor of Business Administration
3. Bachelor of Computer Application
Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:
1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page
Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.
1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa...
Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi.
Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu...
Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana.
Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic...
Hadhi ya mtu, jamii au taifa hutokana na vitu viwili tu; mali/rasilimali au akili/maarifa waliyonayo. Yaani utajiri hutokana na matumizi ya kimoja wapo kati ya vitu hivi au vyote viwili kwa pamoja na kinyume chake umaskini hutokana na ukosefu/upungufu wa hivyo.
Kwakuwa si rahisi sana kwa mtu...
Hadhi ya mtu, jamii au taifa hutokana na vitu viwili tu; mali/rasilimali au akili/maarifa waliyonayo. Yaani utajiri hutokana na matumizi ya kimoja wapo kati ya vitu hivi au vyote viwili kwa pamoja na kinyume chake umaskini hutokana na ukosefu/upungufu wa hivyo.
Kwakuwa si rahisi sana kwa mtu...
Habari wakuu,
Kuna jambo moja huwa najiuliza kuhusu walimu (wahadhiri) wa vyuo vikuu ambao tangu wamalize shahada zao za kwanza na kufanya vizuri, hawajawahi kufanya kazi katika taaluma walizosomea lakini wanaendelezwa/wanajiendeleza mpaka kufikia kupata Doctorate au Uprofesa na kurudi vyuoni...
Kama kichwa Cha habari hapo juu Kinavyojieleza hapo juu ni kwamba lugha imekua sio tatizo tena kwa mtu kujipatia maarifa kutoka kwenye vitabu na nakala mbalimbali. Sasa mm leo nimekuletea video mbili part 1 inayohusu jinsi ya kutafsiri hardcopy na part 2 inayohusu kutafsiri softcopy kwa Tshs...
Wadua habari. Kuna platforms ya kutoa/kupata elimu juu ya mambo mbalimbali.
Unaweza kutoa au kupata elimu hiyo free au kwa kulipia. Kama wewe ndio unatoa elimu kwa kulipia, wadau watakaosoma watalipia na fedha hizo za malipo (75%) zinakuja kwako. Ubora wa content ndio wingi wa clients...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.