Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika
Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
Acha kuwa bendera fuata upepo. Lema anadai Bodaboda ni sio ajira/ nia laana yeye ameleta nini ili kiwe ajira kwako kijana?
Lema anajenga hoja ambazo hazina mashiko, unasema Bodaboda ni laana we unataka vijana wafanye nini au ndo wakusubiri uwe kiongozi mkuu wa nchi ndo kila kijana umpatie...
1. Pua za Panya zipoje kwani nimetoka Kula Samaki na kwa Makusudi nimebakisha baadhi (tena Kufunga katika Mfuko usiopitisha Hewa) ili Kesho Asubuhi niwape Paka wanaojiandaa Kuniwangia na Kunilimisha Mzanaki Mimi Usiku huu nikilala ila nashangaa Panya wameshajua hadi nilipoficha na sasa wananilia...
Quran... inasema tafuteni elimu hata kama iko mbali Nchini china.(chukua mawazo ya china.
Na bible inasema (Watu wangu wanang"amia kwa kukosa maarifa .
@projkishimba
Kwenye ubongo wako kuna haka kabutton kanaitwa NUCLEUS ACCUMBENS. Haka ndio kanakufanya unakuwa mtumwa wa pornography, mlevi wa kupindukia, madawa ya kulevya, kamari na kubeti, vyakula vya hovyo, na addiction nyingine zote. Ukicheza na haka kanakuharibia maisha for good!
Nimekutana na hii video mtandaoni,
Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma.
Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
Mapitio
Zawadi ya thamani zaidi kutoka kwa Mungu ni uwezo wa kuona ulimwengu huu wa kupendeza na wa kupendeza! Kwa kusikitisha, sio kila mtu ulimwenguni anayeweza kuiona. Hata hivyo, katika 1829, Louis Braille alitoa zawadi kubwa kwa jamii yake ya vipofu kwa kuvumbua nukta nundu. Kila mwaka...
Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa.
Hivi hii ndio finest yenu?
Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa??
Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani?
Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?
Sisemi mengi.
Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari?
Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa.
Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee
kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
Moja ya misafara nilojifunza vitu vikubwa ndani ya muda mfupi , ni huu msafara niloamua kwenda kutalii Falme za kiarabu.
Nilianza Sharjah, huko nikakuta ni magodown ya bidhaa used yamejaa. Nikaenda Abuu dhabi kule ni makazi ya matajiri wa kiarabu na ndiko balozi za nchi mbali mbali ziliko...
Wanaangamia kwa kukosa maarifa
WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
Ni miaka sitini imepita tangu uhuru upatikane. Watanzania wanaendelea kuishi kwa kuambiwa na kutenda kwa kuongozwa. Ni wachache wanaoamini “Elimu ni ufunguo wa maisha.” Theluthi ya wanaojiita wasakatonge, wanawakejeli na kuwabeza...
1. Utangulizi
Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
Shikamoni wakubwa na wadogo zangu habarini za mda huu.
Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu kuwa "kijana mwenzangu wa kitanzania usisubiri kutafutiwa maarifa zaidi bila mwenyewe kuweka bidii katika kuongeza maarifa".
Kwanza kabisa nataka kuongea na vijana ambao wamebahatika kusoma kozi za...
Urithishaji wa maarifa na uwajibikaji katika familia
Uwajibijikaji kwa tafsiri ya kikamusi ni kitendo cha mtu mwenye wadhifa kuchukua dhamana ya kosa lililofanywa ama na yeye mwenyewe au mtu mwingine aliye chini yake, agh. kwa kujiuzulu.
Neno lingine la Kiswahili linaloweza kufanana kimaana na...
Utangulizi.
Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
Watumishi wengi ni watu wenye maarifa na upeo mdogo sana!
Wakati tangazo la nyongeza ya mishahara linatoka mimi Fumadilu Kalimanzila niliandika humu JF nikawaeleza kuwa Tanzania haina uwezo wa kuhimili nyongeza ya mishahara ya 23.3%! Nilishambuliwa sana humu.
Leo mtu amekuta ameongezewa...
Kiongozi wa Taifa lolote lile lililo fanikiwa kiuchumi na kimaendeleo basi huyo nikiongozi mwenye maarifa.
Ningumu sana kwa kiongozi wa Taifa lolote lile duniani kuwa namafanikio chanya kama hatokuwa na maarifa na maono ya taifa analiongoza.
Kiongozi nilazima uwe na maono na maarifa...
Soma kwa utulivu mkubwa...
Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza kupumzika kazi mwezi mzima. Lakini aliniambia mwezi mmoja wa kung'ang'ania kazi naweza kuujutia maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.