maarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    Hatuna deni na Magufuli, kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri

    Hatuna deni na huyu Mwamba🙏🏼 Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
  2. B

    Je umesoma kitabu gani kizuri mwaka huu?. Please share nasi tupate maarifa pia

    Tafadhali Tupia kitabu kilichobadilsha fikra zako au maisha Yako, ulichokisoma mwaka huu.
  3. Mhaya

    Kusoma mambo mbalimbali na kufatilia vitu vipya ni chanzo kikuu cha Maarifa

    Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa. Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
  4. ChoiceVariable

    Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  5. Zanzibar-ASP

    Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

    Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%. Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu...
  6. SAYVILLE

    Maarifa Hatari: Embu tujifunze na kumjadili huyu Shetani vizuri

    Kwanza naomba mods msihamishe uzi huu kwa kuupeleka kwenye jukwaa la dini maana nataka tumjadili huyu Shetani katika misingi ya maisha yetu ya kila siku na si katika misingi ya dini. Naileta mada hii kwa tahadhari kubwa sana. Sina nia ya kumpromote huyu jamaa ila nadhani imefika wakati...
  7. BICHWA KOMWE -

    Ukiwa konda lazima uwe chizi maarifa?

    Nawauliza nyie vijana wa DAR na sehemu zingine nchini [lakini haswa DAR], hivi ukiwa kondakta wa daladala lazima akili ziwe fyatu? Sijawahi kukutana na konda msafi, wengi wao wanavuta mabange, wanavaa maguo yaliyoraruka na wanaongea kibabe kama wako vitani? Huwezi kukutana na konda...
  8. KING MIDAS

    Pafanye JamiiForums kisima cha maarifa na taarifa

    Kama una jambo, au mada ambayo haina mashiko, kwanini uilete JamiiForums? Wote tuna jukumu moja, kuifanya JamiiForums kuwa ni kisima cha maarifa. Hutuhitaji @Brianica tena, tuna uwezo wa kuifanya JF kuwa zaidi ya tuwazavyo, iwapo tu tutaamua kuto post upumbavu. JamiiForums ijayo inafurahisha...
  9. Last Philosopher

    Kuwa na maarifa tu, si kujitambua

    Maendeleo ya mwanadamu yamebadilisha mfumo wake wa maisha imekuwa kila mtu ana hitaji maarifa katika utendaji wake wa kazi ili apate matokeo ya kufanikiwa. Kupata maarifa imekuwa kitu chakwanza kwenye ukuaji wa mtu yeyote. Tumekuwa bize na kutafuta maarifa ili kutimiza matakwa ya maisha yetu ya...
  10. Blender

    Uchawi vs akili

    Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa. Uchawi Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi. Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
  11. Boss la DP World

    Watanzania Hamna Maarifa ya Kuendesha Bandari: Ifike Muda Ukweli Usemwe.

    Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza. Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
  12. gango2

    Sioni mantinki kulalamika katazo Plate Namba za 3D

    Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua 1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia. 2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile...
  13. Mzee wa Kosmos

    SoC03 Sehemu tajiri kuliko zote ulimwenguni, taifa tajiri la Tanzania 2050

    UTANGULIZI Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
  14. B

    SoC03 Elimu na maarifa ni mali ya Umma. Kipaji na ujuzi ni mali binafsi

    Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
  15. Pang Fung Mi

    Chuki zinazochagizwa na ukosefu wa maarifa, umadhubuti wa akili na ukomavu wa fikra ni kichekesho

    Habarini nyote. Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho. Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
  16. sky soldier

    Ni kweli kipindi cha ujauzito mwanamke akianza kujifunza maarifa mapya na kucheza michezo ya akili, itamuongezea mtoto uwezo kiakili?

    Yaani kama mtoto amezaliwa bila mama kufanya hivyo vitu anakuwa na akili lakini kama mama yake angefanya hivyo wakati wa uja uzito basi uwezo wa mtoto huyo kiakili ungekuwa mara mbili ama mara tatu ya uwezo wake alionao Ni utamaduni ambao upo huko Israel mwanamke anapokuwa na uja uzito anaanza...
  17. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  18. KING MIDAS

    Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

    Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe. Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine...
  19. Mkwawe

    Hili ndilo kundi lako la kiwango cha Utashi

    Nadhani umeshawahi kusikia mtu akisema "...tatizo una IQ ndogo sana.." na wewe bila kuchanganua hoja yake ukakasirika. Inawezekana ni kweli au sio lakini je IQ ndiyo kigezo pekee Cha kupima utashi wa mtu? Hebu tiririka nami kwenye hii makala fupi sana. "Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina...
  20. Hemedy Jr Junior

    Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

    Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu. Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi...
Back
Top Bottom