Sijakulia miaka ya 90, ila ukweli zama hizi watu wana information nyingi bila maarifa...
Zamani unakutana mtu katoka chuo, kweli yuko confident na kile amesoma, ila siku hizi hadi form4 leaver hatofautiani na mwanachuo kabisa.
Je nini tatizo? Kwa experience watu wanamaliza chuo bila...