maaskofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maaskofu Kanisa Katoliki watoa utaratibu wa Misa kujikinga na Ugonjwa wa Mpox

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ya nyani). TEC inechukua hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya Serikali kupitia Wizara ya Afya...
  2. Niliwahi sema humu na narudia tena, Makonda ni aina ya watu ambao sio wa kuwaachia MIC, kuna siku ya siku

    Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay. Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na...
  3. Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

    Friends and Our Enemies, Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili? Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi...
  4. LGE2024 Tundu Lissu awakalia kooni Maaskofu waliopewa pesa na Rais Samia, ataka warudishe "Hana tofauti na Yuda, hiyo pesa ina laana"

    Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"
  5. W

    LGE2024 Maaskofu wa Kanisa Katoliki "Kiongozi anayepatikana kwa mbavu na Uongo, hutumia Ulaghai kuongoza"

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisistiza una umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa ujumla Tamko hili limewasilishwa na Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, amesema "Tunasisitiza TAMISEMI...
  6. W

    Maaskofu wapinga Pendekezo la kuongeza muda wa Urais hadi miaka 7

    Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa nchini humo Novemba 14, 2024 Seneta Samson Cherargei amefadhili Muswada wa Marekebisho ya Katiba...
  7. Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  8. Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

    MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa. Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake yamepokea pesa za serikali ya CCM. Nataka kuchukua mfano Jimbo la Zanzibar hasa ambalo limepokea...
  9. D

    Pre GE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

    Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024. Kawawekea matozo ya kila...
  10. RC Makonda kawakaanga baadhi ya maaskofu, mapadri na wachungaji wanategemea matamuko na nyaraka badala ya Mungu na maandiko matakatifu

    Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje? https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
  11. Katibu wa Baraza la maaskofu katoliki TEC aligoma kuwapa wanasiasa mike tundulisu, mnyika na chimbi kwanini mwamposa alimpa mike makonda

    Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
  12. B

    Kwanini viongozi wa dini huwa hawakemei huu uonezi wa Polisi?

    Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
  13. M

    Nilichokiona Kanisani nimeshangaa sana kwa mwanasiasa na msomi huyu

    nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya mchungaji - Anna unamjua Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu Mchungaji - Ania unajuma...
  14. M

    Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, mpo wapi?

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa? Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh...
  15. R

    Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  16. Kwanini Maaskofu wa Katoliki wanahubiri neno la Mungu kwa upole tofauti na wenzao wa madhehebu mengine?

    Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka) Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka) Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana. Tafakari…
  17. R

    Baraza la Maaskofu Katoliki lilishirikishwa kwenye hizi taasusi mpya? Padre Kitima tunaomba ufafanuzi wako

    Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination. Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini...
  18. Afrika inalaani na kukemea: Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki nchini Nigeria nao wameungana na Malawi, Kenya, Zambia kuhoji waraka wa Papa Francis

    Wenye dini yetu ndio tupo mstari wa mbele kuhoji, YES!! Afrika ndio sehemu yenye wakatoliki wengi zaidi duniani na hatuwezi kukubaliana na huu waraka unaoenda kinyume kabisa na maadili yetu, Pongezi ziende kwa nchi za Afrika ambazo zipo mstari wa mbele kututetea waumini, Walianza Malawi, akaja...
  19. F

    Kama si Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na wazalendo wengine haya yasingetokea

    - Ukomo wa mkataba umekua miaka 30 tofauti na IGA ambayo haikua na ukomo. -DPW imepewa magati manne tu (no.4 hadi no.7) tofauti na awali ambapo ilipewa magati yote. - Gati no.0 hadi no.3 yataendeshwa na TPA kwa kushirikiana na DPW. Na gati no.8 hadi no.11 yatatafutiwa mwekezaji mwingine. -...
  20. M

    Is it true kwamba serikali Iko answerable kwa maaskofu au maaskofu ndo wako answerable kwa serikali?

    Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe? Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported. Kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…