maaskofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

    Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu...
  2. B

    Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

    Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu. Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi...
  3. GUSSIE

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  4. M

    SI KWELI Shemasi ‘George Rugambwa’ awauliza maswali sita Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    Kuna ujumbe unasambazwa WhatsApp, una kichwa kinachosema Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) je, ni wa kweli?
  5. Pascal Mayalla

    Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi ni Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu, ni miongoni mwa Wakatoliki wacheche waliokwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, Rome, Italy, nikiwa mdogo nimehudunu utumishi kanisani chini ya Muadhama Laurian, Cardinal Rugambwa, na...
  6. Lord denning

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo! Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali...
  7. THE BIG SHOW

    Ukimya wa Baraza la Maaskofu na BAKWATA dhidi ya Watuhumiwa wa Uhaini unashangaza

    Friends and Our Enemies, Nashindwa kabisa kuvielewa hivi vyombo viwili vya dini ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa mstari wa mbele kuikemea serikali kwa niaba ya jamii ya watanzania iliyogawanyika katika kiwango kikubwa katika iman hizo kubwa mbili za Uislam na Ukristo. Nasema,nashindwa...
  8. The Burning Spear

    Maaskofu huwa hawarushi jiwe gizani!

    Kuna watu huwa wanasema maaskofu wanapiga kelele. Wanapinga hiki na hiki, subiri nikwambie, ninavojua hawa jamaa ni intelligent enough. Wanajua in/out zote na huwezi kuwachenga kwa lolote lile. Na wakishasemea jambo huwa hawarudi mara kwa mara ila wewe mwenyewe utaona matokeo. They never speak...
  9. THE BIG SHOW

    Huu hapa ushahidi wa uchokozi wa Maaskofu kwa Rais Samia

    Friends and Our Enemies. Naomba kunukuu; "Nchi hii tunajua kuna genge lipo linaongoza hii nchi, genge hilo lipo halifanyi kazi, halina shamba, halipandi wala halivuni, genge hilo ndilo linamuamrisha Rais hiki fanya, hiki usifanye, hilo genge liache mara moja." Mwisho wa kunuu, na hotuba...
  10. THE BIG SHOW

    Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

    Friends and Enemies, Katika kile kinachoonekana kuwa ni vita dhidi ya rasimali za nchi kama wenyewe wanavyosema, ameibuka Askofu Mstaafu Stephen Munga ambaye ni Askofu Mkuu Mstaafu dayosisi ya kaskazini mashariki. ''Yupo Mfalme wa Wafalme, tuwe makini na kauli zetu, kama umesahau Jana ukumbuke...
  11. M

    Barua ya wazi kwa maaskofu wa TEC: Baba zetu tuokoeni, nchi yetu inauzwa Uhuru wetu unamong'onyolewa

    Kwenu baba zetu maaskofu. Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo. Baba zetu, siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia...
  12. Mnada wa Mhunze

    Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  13. Mnada wa Mhunze

    Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

    Vyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la BANDARI. "...baba Maaskofu watapewa mwaliko wa kutaniko ndani ya wiki hii na tayari Mhashamu Rais wa TEC...
  14. Boss la DP World

    Hakuna fisadi anayeweza kukwambia amekuja kukuibia, Mafisadi wa EPA waliwahonga mpaka Maaskofu

    Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka viongozi wa dini walihongwa, hivyo tusidanganyike kizembe. Tafadhali Mh Raisi, kwenye hili la...
  15. F

    Maaskofu Katoliki mnawaambia vijana wa Kitanzania waliopo Italia warudi nyumbani wakimaliza masomo, mna ajira za kuwapa?

    Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu. Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi. Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo...
  16. MIXOLOGIST

    Ni aibu kwa maaskofu uchwara waliochagua kutokemea waouvu kuja kuwaombea msamaha waovu wao

    Nawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu. Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote. Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na...
  17. Pascal Mayalla

    Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

    Wanabodi, Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipokuwa akiyatenda hayo na kufanya makosa yale, hakuwa yeye, he was insane and possessed by demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa...
  18. Sildenafil Citrate

    Padri Kitima: Vijana hawatavumilia milele, ipo siku wataleta mapinduzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022. "Msipo jirekebisha ninyi...
  19. T

    Tuseme hata maaskofu nao wanalamba asali?

    Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji? Leo kila kona watumishi wa Umma wanalalamika juu ya ongezeko la mishahara lakini wapo kimya, nini kimewakumbuka...
  20. GENTAMYCINE

    Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
Back
Top Bottom