Vitendo vya watoto kulawitiwa kubakwa, kutoa mimba ndoa za jinsia moja mpaka kufikia wazazi kuwalazimisha wana wao kushiriki nao ngono vitendo vinavyoonyesha dhahiri nyakati za sodoma watumidhi Wa Mungu mko wapi ?
Tuambieni huuu ndio mwisho uliotajwa tujiandae au?
Hii ni agenda muhimu ambayo...
Shalom wapendwa
Kumekwa na ongezeeko kubwa la Watoto wa wachungaji na maaskofu kuharibikiwa kutokana na utumiaji wa mihadarati na ulevi wa kupindukia. Hii inatokana na vita kali ya Shetani ili kudhoofisha nguvu ya Kanisa.
Utumiaji wa dawa za kulevya na Pombe kupita kiasi huja na dalili...
Kitundu si msemaji wa Baraza au Faragha ya Maaskofu
Taarifa aliyoitoa kwenye vyombo vya habari, ilikuwa ya uongo kwa sababu maamuzi yaliyofanywa na Askofu Shoo kumuondoa Mwaikali kwenye Uaskofu, hayakufuata katiba ya KKKT Dayosisi ya Konde na wala hayakupewa baraka kwenye mkutano wa Maaskofu...
Kama kuna heshima iliyobaki ya kanisa hili, basi imeshikwa na yule mchungaji wa kijitonyama, pamoja na kwaya ya kanisa Hilo, kwingine kote ni aibu.
Uongozi wa Askofu Shoo umezalisha migogoro Kila mahala, vurugu Kila mahala, nahisi kiatu Cha ukuu wa kanisa hakimtoshi.
Nashauri kikao Cha dharura...
Hii sasa ni hatari kwa mustakabali wa amani nchini.
Inavyoonekana kuna kikundi cha Maaskofu ambao wameamua kuleta ufarakano ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Tanzania-KKKT.
Hili kundi yumo Askofu Bagonza wa Karagwe
Askofu Mwaipopo wa Jimbo La Ziwa Tanganyika, Sumbawanga
Na sasa amengia...
Papa Francis akiwa mimbari
I. USULI
Kitu kinachowaunganisha wanajumuiya ni imani ya pamoja kuhusu vitu vinavyoonekana na visivyoonekana (belief), kanuni za kimaadili zenye kutamka miongozo na miiko kuhusiana na matendo binafsi na matendo ya pamoja wakati wa kutekeleza ajenda ya pamoja (norms)...
Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi, wa JImbo Kuu la Dar es Salaam, akitoa homilia
Usuli
Tarehe 17 Oktoba 2021, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam Mhasham Jude Thaddeus Ruwaichi aliongoza Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki.
Ibada hiyo...
Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani
Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua.
Katika Dominika...
Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania
Usuli
Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki.
Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.”
Maadhimisho...
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo...
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.
Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika...
Uzi huu ni mahsusi kwa viongozi wetu wa kiroho (maaskofu na mashehe)
Hakuna Mtanzania (wakiwemo viongozi wa serekali wenyewe) asiyejua kuwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubambikwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe ni nia ovu ya kutaka kumkata makali katika adhma yake ya...
Katibu mkuu wa TEC ya Marekani ama baraza la maaskofu katoliki wa Marekani amejiuzuru wadhifa wake baada ya kugundilika kua ni shoga.
Askofu huyo amegundulika kua ni shoga baada ya taarifa kuibuka kua yeye hua ni mhuzuriaji mzuri kwenye bar za mashoga nyakati za usiku na pia amegundulika...
Wanabodi,
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi watakaosimamia wa shughuli za baraza katika miaka mitatu ijayo kuanzia 2021 mpaka 2024
Baraza limemchagua...
Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC.
Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu hapohapo ukumbini.
Kikao hiki wote tumeambiwa ni siri, tena wale wenye ruhusa ya kusikiliza siri za...
“Tanzania tuna wagonjwa wa wimbi la Tatu la Corona. Hili jambo bado lipo, tuchukue hadhari zote na tunawaomba viongozi wa dini mseme hili kwa sauti kubwa"
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza na baraza la maaskofu katoliki (TEC) #Tanzania #COVID19
=========
Rais Samia Suluhu...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021
Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini
==========
5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
OFISI KUU ya Mafunzo ya Imani ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Marekani.
Pamoja na maaskofu wa dayosisi kadhaa nchini humo wamewaonya wana kondoo wao kuepuka chanjo ya Covid-19 inayozalishwa na kampuni ya Johnson and Johnson kwa sababu imekiuka misingi ya maadili ya kanisa kuanzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.