Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amewataka Watanzania na vijana wanaoikimbilia Katiba Mpya kutambua kuwa mabadiliko ya sheria mama hayatakuwa na tija kama jamii haitabadilika kiutendaji, kiimani na katika kulinda utu wa binadamu.
Akihutubia...
Kuna kitu kimoja huwa kinaniumiza ndani kabisa ya moyo wangu: watu wanaoishi bila kufikiria matendo yao, bila kujiuliza maswali ya msingi. Watu wanaoishi kwa mazoea, kwa haraka, bila kujali mambo yanavyowaathiri wao na wengine.
Mimi ni mtu wa kutafakari sana. Nikiwa peke yangu, huwa nafikiria...
elimu na tafakuri
jamii ya kifalsafa
mabadilikoyafikra
maisha
siasa za afrika
siasa za tanzania
tafakari
ujamaa na kujitegemea
ukomavu wa fikra
vijana na maadili
Ni ngumu sana kutetea wananchi ambao utatekwa, utateswa, utapotea au utapigwa risasi wao hawatambui mchango wako wataendelea kupiga kelele nyuma ya keyboards na story za Simba na Yanga.
Anajitokeza mtu mzalendo anaibua ufisadi na kufanya maendeleo kesho anaamka mtu anakwambia mtu yule alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.