Godbless Lema amesema Katiba mpya haitsaidia bila mabadiliko ya fikra

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amewataka Watanzania na vijana wanaoikimbilia Katiba Mpya kutambua kuwa mabadiliko ya sheria mama hayatakuwa na tija kama jamii haitabadilika kiutendaji, kiimani na katika kulinda utu wa binadamu.

Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Oktoba 20, 2026 wilayani Karatu mkoani Arusha, Lema amesisitiza kuwa wananchi hawapaswi kutarajia katiba pekee iondoe uoga na kutojali pale haki za wenzao au ndugu zao zinapokiukwa.

Akifafanua kuhusu Katiba Mpya, Lema amesema, “Sasa hii hali mbaya kila mtu anaongea katiba mpya. Nawaambia mimi katiba mpya haitakuwa na maana kama wewe hautabadilisha fikra na uwe na tabia mpya kuhusu maisha yako".

Katika mkutano huo, Lema pia amezungumzia uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na raia, akibainisha kuwa mfumo na wanasiasa wametengeneza chuki kati ya raia na askari wa usalama waliokula kiapo cha kulinda amani. Amesisitiza kuwa msimamo wa CHADEMA unabaki kuwa kutolipa ubaya kwa ubaya.

"Sisi hatuwezi kulipa ubaya kwa ubaya... Tukifikiri kama wao tukatenda kama wao maanake ni kwamba wanachokifanya sasa ni sahihi. Tunawaambia wanachokifanya sasa siyo sahihi ndio sababu tumechagua kuwa wapinzani tubadilishe namna watu wanavyofikiri na wafikiri kwa upendo na siyo kwa chuki na mauaji", ameeleza Lema.

Aidha, amekosoa vikali mtazamo wa kuchukulia biashara ya bodaboda na bajaji kama ajira rasmi za kuwakomboa vijana kutoka kwenye umaskini, akitaja hatua hizo kama mbinu za kuwakandamiza zaidi.

Lema amesema kugawa pikipiki chache kwa kundi la vijana sio kuwainua kiuchumi bali ni kuendeleza mzunguko wa umaskini, huku akitolea mfano mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji yaliyotokea jijini Mbeya kama ishara ya ugumu wa maisha.

"Nilisema hizi bajaji na hizi boda boda siyo ajira. Mnawakusanya huko vijana wanakutana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Serikali lazima iwe na ubunifu wa kutosha kuwatoa vijana kwenye umaskini. Mbunge ananunua pikipiki anaita kundi la vijana anawapa pikipiki tano au 10... Pikipiki 10 kwa vijana 20 siyo kuinua vijana ni kuwafanya vijana kuwa maskini", ameeleza Lema.

Chanzo: Jambo tv
 
Yupo sahihi sana, tunashuhudia nchi chungu mzima zimefanya mabadiliko but still hali za kiuchumi kwa watu wake zipo vilevile au zimepiromoka kabisa na kuharibika!,
Ukombozi wa kweli upo kwenye fikra za mtu mmoja mmoja!
 
Katiba mpya(nzuri) bila watu wenye fikra za kuhakikisha haivunjwi ni sawa na kuwapa nguruwe lulu.
Kama wananchi hawawezi kuilinda iliyopo kwa kuhakikisha inaheshimiwa basi hata mpya itakuwa hivyo.
Tatizo kubwa ni watu waovu na wasiokemea au kuzuia uovu huo.
 
Yupo sahihi. Watanzania tu watu wa ajabu sana. Kwa mfano mtu anatangaziwa kbs ndani ya bus kuwa choo cha ndani ya bus ni kwaajili ya haja ndogo tu, lakini mtu mzima kbs anaingia anakunya na anaacha mavi yake anavaa anatoka zake. Huyu hata umpe katiba mpya haiwezi kumsaidia kwa namna yyt ile.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amewataka Watanzania na vijana wanaoikimbilia Katiba Mpya kutambua kuwa mabadiliko ya sheria mama hayatakuwa na tija kama jamii haitabadilika kiutendaji, kiimani na katika kulinda utu wa binadamu.

Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Oktoba 20, 2026 wilayani Karatu mkoani Arusha, Lema amesisitiza kuwa wananchi hawapaswi kutarajia katiba pekee iondoe uoga na kutojali pale haki za wenzao au ndugu zao zinapokiukwa.

Akifafanua kuhusu Katiba Mpya, Lema amesema, “Sasa hii hali mbaya kila mtu anaongea katiba mpya. Nawaambia mimi katiba mpya haitakuwa na maana kama wewe hautabadilisha fikra na uwe na tabia mpya kuhusu maisha yako".

Katika mkutano huo, Lema pia amezungumzia uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na raia, akibainisha kuwa mfumo na wanasiasa wametengeneza chuki kati ya raia na askari wa usalama waliokula kiapo cha kulinda amani. Amesisitiza kuwa msimamo wa CHADEMA unabaki kuwa kutolipa ubaya kwa ubaya.

"Sisi hatuwezi kulipa ubaya kwa ubaya... Tukifikiri kama wao tukatenda kama wao maanake ni kwamba wanachokifanya sasa ni sahihi. Tunawaambia wanachokifanya sasa siyo sahihi ndio sababu tumechagua kuwa wapinzani tubadilishe namna watu wanavyofikiri na wafikiri kwa upendo na siyo kwa chuki na mauaji", ameeleza Lema.

Aidha, amekosoa vikali mtazamo wa kuchukulia biashara ya bodaboda na bajaji kama ajira rasmi za kuwakomboa vijana kutoka kwenye umaskini, akitaja hatua hizo kama mbinu za kuwakandamiza zaidi.

Lema amesema kugawa pikipiki chache kwa kundi la vijana sio kuwainua kiuchumi bali ni kuendeleza mzunguko wa umaskini, huku akitolea mfano mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji yaliyotokea jijini Mbeya kama ishara ya ugumu wa maisha.

"Nilisema hizi bajaji na hizi boda boda siyo ajira. Mnawakusanya huko vijana wanakutana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Serikali lazima iwe na ubunifu wa kutosha kuwatoa vijana kwenye umaskini. Mbunge ananunua pikipiki anaita kundi la vijana anawapa pikipiki tano au 10... Pikipiki 10 kwa vijana 20 siyo kuinua vijana ni kuwafanya vijana kuwa maskini", ameeleza Lema.

Chanzo: Jambo tv
tulishasema Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa wakikusifia HAMA MTAA!
 
Anasema kweli vichwa maji watamtusi ,Kenya wanakatiba ila mpaka leo wananchi wake wanalia na maisha magumu.

Tupambanie katiba na kubadili fikra kwa wakati mmoja.
Pia tuombe sana kama Taifa tupate kiongozi mwenye maono ya mbali n nchi yake kama Paul K ,Ibrahim Traore na Yohanna AKA Stone the done
 
Yupo sahihi. Watanzania tu watu wa ajabu sana. Kwa mfano mtu anatangaziwa kbs ndani ya bus kuwa choo cha ndani ya bus ni kwaajili ya haja ndogo tu, lakini mtu mzima kbs anaingia anakunya na anaacha mavi yake anavaa anatoka zake. Huyu hata umpe katiba mpya haiwezi kumsaidia kwa namna yyt ile.
Watu Hawajui wanataka nini 😂😂
 
Katiba mpya(nzuri) bila watu wenye fikra za kuhakikisha haivunjwi ni sawa na kuwapa nguruwe lulu.
Kama wananchi hawawezi kuilinda iliyopo kwa kuhakikisha inaheshimiwa basi hata mpya itakuwa hivyo.
Tatizo kubwa ni watu waovu na wasiokemea au kuzuia uovu huo.
Lema na wewe mko sahihi kabisa. Lakini kila kitu si kina mwanzo? Katiba nzuri ndiyo mwanzo wa matibabu na mabadiliko mengine yatafuata kidogo kidogo. Kwa mfano ukiondoa madaraka ya kimungu aliye naye rais na kurudisha chini kwa wananchi, huo utakuwa ni mwanzo mzuri sana kuanza kuchechemea. Huwezi kukaa ukisubiri watu wabadilike kwanza bali unaandika katiba halafu unaonyesha watu njia... ndiyo maana ya uongozi. Hebu chukuwa mfano mdogo sana. Kama katina ingekuwa imeipa mahakama uhuru na kutokuwa chini ya mamlaka ya rais, sasa hivi kesi kama ya Lissu ingekuwa haipo.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amewataka Watanzania na vijana wanaoikimbilia Katiba Mpya kutambua kuwa mabadiliko ya sheria mama hayatakuwa na tija kama jamii haitabadilika kiutendaji, kiimani na katika kulinda utu wa binadamu.

Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Oktoba 20, 2026 wilayani Karatu mkoani Arusha, Lema amesisitiza kuwa wananchi hawapaswi kutarajia katiba pekee iondoe uoga na kutojali pale haki za wenzao au ndugu zao zinapokiukwa.

Akifafanua kuhusu Katiba Mpya, Lema amesema, “Sasa hii hali mbaya kila mtu anaongea katiba mpya. Nawaambia mimi katiba mpya haitakuwa na maana kama wewe hautabadilisha fikra na uwe na tabia mpya kuhusu maisha yako".

Katika mkutano huo, Lema pia amezungumzia uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na raia, akibainisha kuwa mfumo na wanasiasa wametengeneza chuki kati ya raia na askari wa usalama waliokula kiapo cha kulinda amani. Amesisitiza kuwa msimamo wa CHADEMA unabaki kuwa kutolipa ubaya kwa ubaya.

"Sisi hatuwezi kulipa ubaya kwa ubaya... Tukifikiri kama wao tukatenda kama wao maanake ni kwamba wanachokifanya sasa ni sahihi. Tunawaambia wanachokifanya sasa siyo sahihi ndio sababu tumechagua kuwa wapinzani tubadilishe namna watu wanavyofikiri na wafikiri kwa upendo na siyo kwa chuki na mauaji", ameeleza Lema.

Aidha, amekosoa vikali mtazamo wa kuchukulia biashara ya bodaboda na bajaji kama ajira rasmi za kuwakomboa vijana kutoka kwenye umaskini, akitaja hatua hizo kama mbinu za kuwakandamiza zaidi.

Lema amesema kugawa pikipiki chache kwa kundi la vijana sio kuwainua kiuchumi bali ni kuendeleza mzunguko wa umaskini, huku akitolea mfano mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji yaliyotokea jijini Mbeya kama ishara ya ugumu wa maisha.

"Nilisema hizi bajaji na hizi boda boda siyo ajira. Mnawakusanya huko vijana wanakutana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Serikali lazima iwe na ubunifu wa kutosha kuwatoa vijana kwenye umaskini. Mbunge ananunua pikipiki anaita kundi la vijana anawapa pikipiki tano au 10... Pikipiki 10 kwa vijana 20 siyo kuinua vijana ni kuwafanya vijana kuwa maskini", ameeleza Lema.

Chanzo: Jambo tv
Mbona tunapewa taarifa za Mkutano wa leo tarehe 20/10/2026 huko Karatu, lakini hatujapewa taarifa za Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa wa Bomang'ombe, Hai uliofanyika jana tarehe 19/10/2026? Kuna nini?
Au Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa alivurumishwa na wana Chadema wa Hai? Ahahahahaha!!
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amewataka Watanzania na vijana wanaoikimbilia Katiba Mpya kutambua kuwa mabadiliko ya sheria mama hayatakuwa na tija kama jamii haitabadilika kiutendaji, kiimani na katika kulinda utu wa binadamu.

Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Oktoba 20, 2026 wilayani Karatu mkoani Arusha, Lema amesisitiza kuwa wananchi hawapaswi kutarajia katiba pekee iondoe uoga na kutojali pale haki za wenzao au ndugu zao zinapokiukwa.

Akifafanua kuhusu Katiba Mpya, Lema amesema, “Sasa hii hali mbaya kila mtu anaongea katiba mpya. Nawaambia mimi katiba mpya haitakuwa na maana kama wewe hautabadilisha fikra na uwe na tabia mpya kuhusu maisha yako".

Katika mkutano huo, Lema pia amezungumzia uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na raia, akibainisha kuwa mfumo na wanasiasa wametengeneza chuki kati ya raia na askari wa usalama waliokula kiapo cha kulinda amani. Amesisitiza kuwa msimamo wa CHADEMA unabaki kuwa kutolipa ubaya kwa ubaya.

"Sisi hatuwezi kulipa ubaya kwa ubaya... Tukifikiri kama wao tukatenda kama wao maanake ni kwamba wanachokifanya sasa ni sahihi. Tunawaambia wanachokifanya sasa siyo sahihi ndio sababu tumechagua kuwa wapinzani tubadilishe namna watu wanavyofikiri na wafikiri kwa upendo na siyo kwa chuki na mauaji", ameeleza Lema.

Aidha, amekosoa vikali mtazamo wa kuchukulia biashara ya bodaboda na bajaji kama ajira rasmi za kuwakomboa vijana kutoka kwenye umaskini, akitaja hatua hizo kama mbinu za kuwakandamiza zaidi.

Lema amesema kugawa pikipiki chache kwa kundi la vijana sio kuwainua kiuchumi bali ni kuendeleza mzunguko wa umaskini, huku akitolea mfano mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji yaliyotokea jijini Mbeya kama ishara ya ugumu wa maisha.

"Nilisema hizi bajaji na hizi boda boda siyo ajira. Mnawakusanya huko vijana wanakutana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Serikali lazima iwe na ubunifu wa kutosha kuwatoa vijana kwenye umaskini. Mbunge ananunua pikipiki anaita kundi la vijana anawapa pikipiki tano au 10... Pikipiki 10 kwa vijana 20 siyo kuinua vijana ni kuwafanya vijana kuwa maskini", ameeleza Lema.

Chanzo: Jambo tv
Mimi pia naungana nae, hata katiba ya sasa sio mbaya kivile ni vile tu haifuatwi, tutatunga katiba mpya lkn kwa watawala hawa?? Tutaludi kulia tu.
Kwa aina hii ya watanzania wanaoandamana kwenda kumpokea miss lkn hutasikia wakiandamana kupinga gharama za maisha, kupanda kiholera kwa petrol ni kazi bure
 
Anasema kweli vichwa maji watamtusi ,Kenya wanakatiba ila mpaka leo wananchi wake wanalia na maisha magumu.

Tupambanie katiba na kubadili fikra kwa wakati mmoja.
Pia tuombe sana kama Taifa tupate kiongozi mwenye maono ya mbali n nchi yake kama Paul K ,Ibrahim Traore na Yohanna AKA Stone the done
Paul kagame anauzuri gani mtu ambaye kila mtu anamkosoa analala naye mbele
 
Back
Top Bottom