mabadiliko ya fikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amesema Katiba mpya haitsaidia bila mabadiliko ya fikra

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amewataka Watanzania na vijana wanaoikimbilia Katiba Mpya kutambua kuwa mabadiliko ya sheria mama hayatakuwa na tija kama jamii haitabadilika kiutendaji, kiimani na katika kulinda utu wa binadamu. Akihutubia...
  2. JamiiForums Tanzania Tunaishi: Lakini Hatufikiri: Nakerwa na Watu Wasiotafakari Maisha Yao, Kwa Nini Watu Wengi Hawajiulizi Maswali Muhimu?

    Kuna kitu kimoja huwa kinaniumiza ndani kabisa ya moyo wangu: watu wanaoishi bila kufikiria matendo yao, bila kujiuliza maswali ya msingi. Watu wanaoishi kwa mazoea, kwa haraka, bila kujali mambo yanavyowaathiri wao na wengine. Mimi ni mtu wa kutafakari sana. Nikiwa peke yangu, huwa nafikiria...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa Tanzania ni ngumu sana kwa wazalendo na wapenda maendeleo, mabadiliko ya kifikra ni muhimu sana

    Ni ngumu sana kutetea wananchi ambao utatekwa, utateswa, utapotea au utapigwa risasi wao hawatambui mchango wako wataendelea kupiga kelele nyuma ya keyboards na story za Simba na Yanga. Anajitokeza mtu mzalendo anaibua ufisadi na kufanya maendeleo kesho anaamka mtu anakwambia mtu yule alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…