mabadiliko ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Rais amewadanganya viongozi wa dini kuhusu mabadiliko ya uchaguzi, ataka kauli hiyo ipuuzwe

    Katibu mkuuwa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Kauli aliyoitoa Rais Samia kwa viongozi wa dini kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye uchaguzi. Ameeleza kuwa kauli hiyo ipuuzwe na wadau waendelee na Ajenda ya No reforms No election
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tafakuri:Mageuzi makubwa yamefanyika kwenye sheria za uchaguzi, je kilichotokea 2024 kilisababishwa na nini?

    Hali iliyojitokeza 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kupelekea kuwepo na malalamiko mengi sawa na yale ya2019/2020 ilisababishwa na nini? Maana haya yametokea katikati ya maboresho yaliyofanyika ya kisheria na kikanuni kuhusu uchaguzi. Nakubaliana na Mufti wa Bakwata kuwa tutumie akili...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shura ya Maimamu yatoa tamko, yamtaka Rais kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Uchaguzi

    Huu Sasa Ndio Uislam, sio ule Uhuni wa Kutangaza Amani Amani huku HAKI imefichwa. Ni sawa tule twanafunzi, Kila kukicha "Mama asamewe" alafu tunashindwa hata kukaa na kujadili Report ya CAG. ==== Shura ya Maimamu Tanzania ikiongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda imengumza kuhusu; Kutoweka...
Back
Top Bottom