PreGE2025 John Mnyika: Rais amewadanganya viongozi wa dini kuhusu mabadiliko ya uchaguzi, ataka kauli hiyo ipuuzwe

PreGE2025 John Mnyika: Rais amewadanganya viongozi wa dini kuhusu mabadiliko ya uchaguzi, ataka kauli hiyo ipuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Katibu mkuuwa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Kauli aliyoitoa Rais Samia kwa viongozi wa dini kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye uchaguzi. Ameeleza kuwa kauli hiyo ipuuzwe na wadau waendelee na Ajenda ya No reforms No election
 
View attachment 3291987
Huyo bwege sk hz hana adabu siyo? Mwambieni awe makini na kauli zake. Ngedere km yeye anaweza kusema Rais wetu apuuzwe? Anajitambua kweli?
 
Huyo bwege sk hz hana adabu siyo? Mwambieni awe makini na kauli zake. Ngedere km yeye anaweza kusema Rais wetu apuuzwe? Anajitambua kweli?
Anapuuzwa tu kama hayuko makini. Na uzuri watu kama akina Mnyika, Tundu Lissu, nk. Huwa wanakujibu kwa hoja, na vielelezo! Na siyo porojo.
 
Yaani mpaka sasa hajafanya tathmini uchaguzi serikali za mitaa? Maoni yangu kama anataka kusaidia akina mama wenzake aachane na kusoma makaratasi(taarifa). Akaongeza na wananchi wa chini.

Mama yetu Samiia kuwa jasiri uwasaidie watanzania tupate katiba. Mungu kakupa vichwa vya kila aina ya taaluma uchumi, sheria, sayansi nk. Utakuwa mwanamke jasiri Afrika na dunia. Dunia itaheshimu Tanzania makelele kila siku. Wapunguze vyombo vya dola maugomvi na rais wao kwa ajili ya uchaguzi.

Na nyingi vishoka wa ccm mpunguze mizuka ya kubebwa bebwa. Mkatafite kura kwa wananchi.

Mama kutuletea katiba utekaji mapigano kuwekeana vizazi nk vitaisha

Namkumbuka mwandishi wa habari wa Inland Veronica quinin alivyopambana na mwisho akaiokoa nchi na kalamu.
Japo walimuuwa. Ila nchi ilisimama na katiba itapatikana.

Suala la tume uchunguzi shirikisha vyama vyote, dini, taasisi balozi nchi za nje watalifanyia kazi nzuri
 
Huyo bwege sk hz hana adabu siyo? Mwambieni awe makini na kauli zake. Ngedere km yeye anaweza kusema Rais wetu apuuzwe? Anajitambua kweli?
Wewe ndiye bwege usiyejua kiswahili, "ipuuzwe" na "apuuzwe" ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom