HANDSHAKE kati ya Raila Amolo Odinga na Uhuru Kenyata ililenga kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba ili kuweka vyeo, pamoja na mambo mengine mengi. William Rutto aliwaambia wakenya kwamba shida yao sio katiba nyingine, shida yake ni kukomboa mama mboga na mtu wa bodaboda, kwamba shida ya...
Kumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania.
Nadhani itabidi sasa watanzania kuunga mkono juhudi. Kama Rais halali, wewe ni nani unalala. Unapata wapi usingizi?
Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma.
Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko.
Je, na...
Kama wengi wenu mnavyojua, LATRA ilitoa maagizo ya namba LATRA/01/2022 yaliyotolewa tarehe 14 Machi 2022. Licha ya athari za agizo la bei na kamisheni kwa biashara, Bolt imeendelea kutoa huduma za usafiri ili kuonyesha nia njema na kuunda fursa ya azimio la amani.
Hivyo basi, Bolt na LATRA...
INTRO: Mto Manjano na Mto Yangtze ndio mito mama ya taifa la China. Ulinzi wa Mto Mama siku zote limefuatiliwa na mkuu wa China, Xi Jinping. Katika miaka kumi iliyopita, Mto Manjano umekuwa ukifanya kazi ya "ziada" katika masuala ya kuleta mazingira ya kijani, kurejesha ikolojia na kurudi kwenye...
Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
Ndugu zangu Wana Simba nahisi performance ya Timu yetu tumeiona na hapa nawahakikishieni kama itaendelea hivi tusitegemee ubingwa wa ligi kuu.
Ukiangalia usajili uliofanyika naona hakuna mabadiliko chanya yeyote. Tusidanganyane mbadala wa Kagere haupo kabisa, Bora hata wangemwacha tu!! Nini...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya makamanda wa Polisi wa mikoa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 12,2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
Moja ya Sheria ni idadi ya squad. Na idadi ya sub ambayo pia iliishaanza kutumika.
Kikubwa Sana ni faulo ya kushika Mpira. Hand to ball Ball to hand.
Ule Mpira bana wameweka mavitu. Referees wanambiwa TU faulu na electronic mechanical technology. Itakuwa balaa tusubiri tuone
“Wanameremeta, wanameremeta”, sauti za akina mama zilisikika na vigelegele vilisikika hapa na pale. ‘’Shosti yetu kashauaga umaskini’’ Nyemo aliwaambia wasichana wenzake aliosimama nao huku akimuonyeshea Sapora na Dakute ambao walipanda gari kuelekea fungate. ‘’Cheki gari lile! Kuna usafiri na...
Uchumi:Serikali iangalie swala La maeneo yaliyo wazi mjini haswa Dar es salaam wamilikishwe watu binafsi kwa mkataba ambao utakua wa kudumu ambapo atakayemilikishwa atapaswa kuanzisha mradi mfano apartments ambapo baada ya mradi kukamilika kutakua kugawanya faida Kati ya serikali na huo...
Tangu Tanzania ipate Uhuru imepita miaka 60 miezi 7 na siku 30 Sasa. Ushawahi jiuliza mfumo wetu wa elimu wa Sasa ni mfumo gani? na je umepitia mabadiliko gani mpaka kufika hapa?
Wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa na mfumo wa elimu ya kujitegemea, mfumo huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kila...
Mambo sita ambayo hufanya amani ya ndani ya moyo ( nafsi ) wako iwe rahisi:
Kutoogopa mabadiliko
Kuwa mwema kwa wengine
Kua mwaminifu na wewe mwenyewe /Honesty with yourself
Fanya vitendo kwa makusudio
Kujitambua
Shukrani
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
Elimu yenye Kuleta mabadiliko.
Tanzania ya sasa, inauhitaji mkubwa wa elimu yenye Kuleta mabadiliko kuendana na Kasi ya mabadiliko ya kisayansi na kiteknolojia ya kiulimwengu .
Elimu hii isiwe yenye kubaki kama alama tu kwenye vyeti vya wasomiwake,bali iwe elimu ya kimapinduzi (mabadiliko...
Uzi huu ni mahususi kwaajili ya kujuzana kuhusu mshahara wa mwezi Julai. Je mshahara ushatoka? Vipi kuna mabadiliko? Ahsanteni sana.
Baba mwenye nyumba,
Kashai, Bukoba.
Mjadala wa kisayansi juu ya uendelevu wa teknolojia ya ndani
Mbadala wa kilimo kidogo mageuzi ya kukabiliana na athari za mabadilko ya hali ya hewa kwenye mazao ya bustani🍃🎋
Akinukuu ripoti ya mkutano wa kilele wa hali ya hewa duniani wa 2021 joto la dunia limeongezeka kwa nyuzi joto 1.18...
Jana nilikua kwenye basi kuelekea nyumbani Kwamtogole. Jirani yangu alikaa mwanaume mwenye umri unaokaribia miaka 35. Hajui Kiswahili vizuri. Tuliongea hivyo hivyo na Kiingereza changu cha yes, no lakini nilifanikiwa kumuelewa.
Huyu mwanaume ni raia wa Ghana lakini alifanikiwa kwenda Ulaya...
Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.